Yanga na Mamelodi ndio timu pekee zinazoweza kurudisha heshima ya mtu mweusi katika Soka la Afrika kwenye mashindano ya CAF

Kwahiyo kama heading inazungumzia CAF je mashindano ya kombe ya shirikisho ambayo Yanga ilicheza fainali dhidi ya USMA ni ya UEFA?

Mashindano ambayo Yanga kacheza fainali je Simba hakuwahi kushiriki, kama alishiriki je amewahi kufikia alipofikia Yanga?
 
Kwani Al Ahly alivyofungwa na hawa USMA kwenye CAF super cup je USMA walikuwa wapo kwenye klabu bingwa? Yaani hapo unajiona ndio una akili kabisa
 
Kwahiyo mwaka 1993 uliyocheza fainali ya shirikisho dhidi ya nani? bingwa akawa ni nani wa hilo kombe la shirikisho? Na je huyo bingwa alicheza dhidi ya nani katika CAF super cup ili kuanza kwa msimu mpya wa mashindano ya CAF?
Hilo swali hakuna mwanasimba anayeweza kukujibu kiufasaha
 
Hii hawataki kusikia..Nadhani wengi ni wale wa 2000s
Hilo mimi nimefurahi kulisikia na ningeomba kufahamishwa na nye wahenga wa 1960s

mwaka 1993 Simba ilicheza fainali ya shirikisho dhidi ya nani? bingwa akawa ni nani wa hilo kombe la shirikisho? Na je huyo bingwa alicheza dhidi ya nani katika CAF super cup ili kuanza kwa msimu mpya wa mashindano ya CAF?
 
Ihefu ndio tumaini lenu? Hata Manchester City aliwahi kufungwa na timu inayoshiriki daraja la pili Preston
Mwaka gani?Mwiko nyuma leta ushahidi?Kwenye mechi ipi na lini?
 
Thithi ndo tutaiheshimisha Aflika.



Mwonekano anaodhani anao vs alivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…