Yanga play like big European clubs

Yanga play like big European clubs

Kwani mpaka saizi anapinga kauli yake?

Si jana tu hapo wamesema kufika robo wao ni bonus ambayo haikuwa kwenye mipango.

Mamelody unamuona sawa na timu ulizocheza nazo?

Ngoja nikuambie kitu

Hata Al Ahly hapendi kukutana na Mamelody.

Africa hii hakuna timu ina wish kukutana na Mamelody.
basi hakuna haja ya kushindana wapeni kombe lao
tusave muda na mali
 
Kwani mpaka saizi anapinga kauli yake?

Si jana tu hapo wamesema kufika robo wao ni bonus ambayo haikuwa kwenye mipango.

Mamelody unamuona sawa na timu ulizocheza nazo?

Ngoja nikuambie kitu

Hata Al Ahly hapendi kukutana na Mamelody.

Africa hii hakuna timu ina wish kukutana na Mamelody.
Bakisha maneno we mbumbumbu wa jf
 
Yanga play like big European clubs​

I don’t think Ronwen William will keep a clean sheet in this game ...Young Africans are unbeaten they play like big European clubs...it will be so hard for Masandawana - Mjagabani @mjagabani

Habari za Yanga,Afrika nzima wanazo ila makoloudad tu kujifanya na roho mbaya kutotaka kukubali,hakika yanga inaenda kuwa timu kipenzi kwa kila mwafrika kwa sababu kwa sasa ndio timu inayocheza soka la kuvutia na la uhakika kwa sasa barani Afrika na naamini wataendelea kuwa tishio zaidi na zaidi pengine kuja kufuta utawala wa Ahly after 10-15 coming years
haya maneno sisi wananchi hatuyahitaji
 
Kama Una kumbukumbu nzuri rudi nyuma msimu ule game na hilal mlisemaje kuanzia uongozi hadi mashabiki.

Mwisho wa siku ni maneno tu uwanjani mambo ni tofauti
 
Yanga play like big European clubs​

I don’t think Ronwen William will keep a clean sheet in this game ...Young Africans are unbeaten they play like big European clubs...it will be so hard for Masandawana - Mjagabani @mjagabani

Habari za Yanga,Afrika nzima wanazo ila makoloudad tu kujifanya na roho mbaya kutotaka kukubali,hakika yanga inaenda kuwa timu kipenzi kwa kila mwafrika kwa sababu kwa sasa ndio timu inayocheza soka la kuvutia na la uhakika kwa sasa barani Afrika na naamini wataendelea kuwa tishio zaidi na zaidi pengine kuja kufuta utawala wa Ahly after 10-15 coming years
Naona km uliyeandika ni wewe mkuu.
 
Back
Top Bottom