Yanga play like big European clubs

basi hakuna haja ya kushindana wapeni kombe lao
tusave muda na mali
 
Bakisha maneno we mbumbumbu wa jf
 
haya maneno sisi wananchi hatuyahitaji
 
Kama Una kumbukumbu nzuri rudi nyuma msimu ule game na hilal mlisemaje kuanzia uongozi hadi mashabiki.

Mwisho wa siku ni maneno tu uwanjani mambo ni tofauti
 
Naona km uliyeandika ni wewe mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…