Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Mimi kama SIMBA damu nawatakia Yanga ushindi ila naona wameshashindwa kabla ya mechi kutokana na huu utetezi wa mapema wa kocha wao... Jumbe kama hizi huu sio wakati wake! Huu ni wakati wa kujengana confidence na kupeana moyo! Ikiwezekana Yanga wawaige SIMBA! Kuiga kitu chema sio dhambi.. Ikishinda yanga imeshinda Tanzania
 
Ikiwezekana Mkuu Waarabu wanakaba mno hata ile mechi ya wale Wasudani wangechezeshwa hivyo maana watu wanazuia muda wote na kumbuka mipira ya faulo huko KB nj kama penati ila mara nyingi Yanga hawaitumii vizuri..
Mipira ya kutengwa mpigaji si yule yule Azizi Ki, utasemaje hamuitumii vizuri wakati mna left shooter
 
Mi hata sielewi wanampendea nini yule jamaa hahaha. Atakua anachezea mpira dawa. Hata waarabu Berkane nilishangaa sana kumchukua, japo sikushangaa mara ya pili maana kocha wakati ule alikua Ibenge kocha wake wa zamani AS Vita.

Yule hata mimi hanipati kiwango changu cha kusakata kabumbu, ana mibio tu kama kichaa na bado haina tija.
 
Eeeh!
 
نویسنده متوقنحطنسسکوکطوییقثحثخقخقخقتتطوطوطوkibwana shomari متیویتزویقتیتزویثتث[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]mochwari
WABILAH taifik habib club Africain [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1249][emoji1249][emoji1249][emoji517][emoji517][emoji517]
 
Asicheze kabisa yeye na Moloko ni aina moja ya uchezaji ila Moloko anachomzidi Kisinda yeye anaweza kuulinda mpira na akatoa pasi sahihi..
Faridi Mussa ni bora kuliko hao wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…