Sam mirror
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 1,461
- 2,238
Lawama ziko wapi?acha lawama
Offside ya mchongoHiinsasa ndo offside ila ile ya mwanzo ilikuwa na uwalakini
lenye mchanganyiko wa offsideYanga wanapiga kandanda safi
Kumbe umeona mkuuLine 2 anawahujumu Yanga
Camera za Azam tu zenyewe bado sana.Onside mbili linesman anasema offside..
Tunahitaji kuinvent VAR yetu.
Na kama siyo hujuma za wazi, basi huenda huyu line 2 atakuwa ana uwezo mdogo wa kutafsiri offside. Na jambo hili halikubaliki hata kidogo.Line 2 anawahujumu Yanga
GSM haoLine 2 anawahujumu Yanga