Kikubwa hapa ni kuwa mlokua mnaona mpo juu juu mmefinywaaa. Hata kwetu ni kupoteza ila tunawachekaaa kidharau maana timu yetu si mbovu? Kwanini hamjamfunga mnyamaaaaYaah tutajipanga kimataifa tuwe invincible kama tulivyo kwenye hii ligi ya ndani......kwetu sisi Draw ni kupoteza mchezo
Deni la Mayele lipo palepale.....litalipwa semi-final ya FAWw kaa ulie vzr sisi tulicheza ili tufunge ila ndo ikawa hvyo. Tunawacheka nyie mlioona mna kikosi bora mbona hamjamfunga mmnyama?.kweli sisi tuna kikosi kibovu sasa vipi.na mayele alosema ana deni na simba vipi bado lipo au ameongeza deni kwa juu
Yanga wameiacha simba point 13 sasa nani wa kuumia hapo?Yanga wameumiaaaa wanaumiaaa na wataumiaaa mlifikiri Simba kuifunga rahis eee poleni nyeee
Ngao ya jamii mwanzo wa ligi?? Hahahah alisema mechi hiii nyie utopolo endelee kutusubiriTunawasubili nusu fainali ya kombe la Azzam.
Mayele alishaanza kulipa deni kwenye ngao ya jamii, kinachofuata ni bonus tu.
Jisamehe ww nyie ni wabovu tuu mnaoteaga mechi za hapo dogodogoDeni la Mayele lipo palepale.....litalipwa semi-final ya FA
Kwa kikosi cha Simba kilivyo kibovu....tunaomba samahani sana kwa kupoteza mchezo wa leo
Ni sehemu ya mchezo tu Mama ila tunaomba radhi kwa kupoteza mchezo wa leoKikubwa hapa ni kuwa mlokua mnaona mpo juu juu mmefinywaaa. Hata kwetu ni kupoteza ila tunawachekaaa kidharau maana timu yetu si mbovu? Kwanini hamjamfunga mnyamaaaa
Hahaha hata Yanga wenzako watakuwa wanakushangaa, maana nyinyi ndo mlikuwa na uhakika wa kuifunga Simba Sc, kila mtu anawaza kuwa Mayele atatetema.😄Manyau nyau meusi yakatize uwanjani ndipo mshinde [emoji848][emoji1787]
Tuliwaambia muwe na akiba za maneno mkagoma, mara oooh ukimya wake MAKOLO atashinda mechi ya leo maana si kawaida MAKOLOKOLO kukaa kimya kabla ya mechi bila kuimba taarabu.
MAKOLOKOLO HOYEEEEEEE [emoji16]
Haaaa sasa mbona hueleweki Mara simba wabovu,mara Yanga wabovu......Kuwa na jambo moja nikueleweJisamehe ww nyie ni wabovu tuu mnaoteaga mechi za hapo dogodogo
Unajua mara nyingi ukiwa na milioni 100 ukiona mwenzako amepata hata milioni moja unaumia labda nyie kama sio washindani wazuri. Ila mmeumia mliukamia sana mchezo ili tuu mumuonyeshe huyo malyeye halafu ndo mnapokosea timu nzima kumuabudu mtu mmojaYanga wameiacha simba point 13 sasa nani wa kuumia hapo?
Nyie ndo mlisema Simba wabovu wana kikosi kibovu sawaaaa ni kweli..Ila mimi nakwambia mimi yani kama mimi naona Yanga ni wabovuuu mbele ya SimbaHaaaa sasa mbona hueleweki Mara simba wabovu,mara Yanga wabovu......Kuwa na jambo moja nikuelewe
Timu iliyowapita point 13 inaumiaje?Unajua mara nyingi ukiwa na milioni 100 ukiona mwenzako amepata hata milioni moja unaumia labda nyie kama sio washindani wazuri. Ila mmeumia mliukamia sana mchezo ili tuu mumuonyeshe huyo malyeye halafu ndo mnapokosea timu nzima kumuabudu mtu mmoja
Yaaah tulikuwa wabovu sana Leo na hatukucheza vizuri Ila Simba wamecheza vzr ndo maana wameshinda mchezo wa LeoHahaha hata Yanga wenzako watakuwa wanakushangaa, maana nyinyi ndo mlikuwa na uhakika wa kuifunga Simba Sc, kila mtu anawaza kuwa Mayele atatetema.😄
Yaah hata mimi nakubali Yanga ni wabovu sana na ndio maana tumepoteza mchezo wa Leo na tupo nyuma ya simba kwenye msimamo wa ligiNyie ndo mlisema Simba wabovu wana kikosi kibovu sawaaaa ni kweli..Ila mimi nakwambia mimi yani kama mimi naona Yanga ni wabovuuu mbele ya Simba
Nyie ni wabovuuuuu mbele ya simba usijifiche kwenye samahani hapa. Samahani mumuombe mayele kwa kumpa uwezo mkubwa ambao hana mbele ya simbaNi sehemu ya mchezo tu Mama ila tunaomba radhi kwa kupoteza mchezo wa leo
Hahaha pole maskini umeona uje na hoja ya simba imecheza vzr semeni tuu Simba sio timu ya kubezwa.Yaaah tulikuwa wabovu sana Leo na hatukucheza vizuri Ila Simba wamecheza vzr ndo maana wameshinda mchezo wa Leo
Tulipanga unbeaten iendelee mpk tuchukue ligi ila imetokea bahati mbaya tumepoteza mchezo wa leo
Muwe mbele muwe nyuma we dont care ila nyie ni wabovuu mbele ya SimbaYaah hata mimi nakubali Yanga ni wabovu sana na ndio maana tumepoteza mchezo wa Leo na tupo nyuma ya simba kwenye msimamo wa ligi
Ila kumbukumbu zinaonyesha aliwahi kutetemaNyie ni wabovuuuuu mbele ya simba usijifiche kwenye samahani hapa. Samahani mumuombe mayele kwa kumpa uwezo mkubwa ambao hana mbele ya simba
Yaah Simba imecheza mpira mzuri na simba sio timu ya kubezwa na ndio maana wameondoka na matokeo mazuri leoHahaha pole maskini umeona uje na hoja ya simba imecheza vzr semeni tuu Simba sio timu ya kubezwa.