Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Yaah tutajipanga kimataifa tuwe invincible kama tulivyo kwenye hii ligi ya ndani......kwetu sisi Draw ni kupoteza mchezo
Kikubwa hapa ni kuwa mlokua mnaona mpo juu juu mmefinywaaa. Hata kwetu ni kupoteza ila tunawachekaaa kidharau maana timu yetu si mbovu? Kwanini hamjamfunga mnyamaaaa
 
Ww kaa ulie vzr sisi tulicheza ili tufunge ila ndo ikawa hvyo. Tunawacheka nyie mlioona mna kikosi bora mbona hamjamfunga mmnyama?.kweli sisi tuna kikosi kibovu sasa vipi.na mayele alosema ana deni na simba vipi bado lipo au ameongeza deni kwa juu
Deni la Mayele lipo palepale.....litalipwa semi-final ya FA

Kwa kikosi cha Simba kilivyo kibovu....tunaomba samahani sana kwa kupoteza mchezo wa leo
 
Tunawasubili nusu fainali ya kombe la Azzam.

Mayele alishaanza kulipa deni kwenye ngao ya jamii, kinachofuata ni bonus tu.
Ngao ya jamii mwanzo wa ligi?? Hahahah alisema mechi hiii nyie utopolo endelee kutusubiri
 
Deni la Mayele lipo palepale.....litalipwa semi-final ya FA

Kwa kikosi cha Simba kilivyo kibovu....tunaomba samahani sana kwa kupoteza mchezo wa leo
Jisamehe ww nyie ni wabovu tuu mnaoteaga mechi za hapo dogodogo
 
Kikubwa hapa ni kuwa mlokua mnaona mpo juu juu mmefinywaaa. Hata kwetu ni kupoteza ila tunawachekaaa kidharau maana timu yetu si mbovu? Kwanini hamjamfunga mnyamaaaa
Ni sehemu ya mchezo tu Mama ila tunaomba radhi kwa kupoteza mchezo wa leo
 
Manyau nyau meusi yakatize uwanjani ndipo mshinde [emoji848][emoji1787]

Tuliwaambia muwe na akiba za maneno mkagoma, mara oooh ukimya wake MAKOLO atashinda mechi ya leo maana si kawaida MAKOLOKOLO kukaa kimya kabla ya mechi bila kuimba taarabu.

MAKOLOKOLO HOYEEEEEEE [emoji16]
Hahaha hata Yanga wenzako watakuwa wanakushangaa, maana nyinyi ndo mlikuwa na uhakika wa kuifunga Simba Sc, kila mtu anawaza kuwa Mayele atatetema.😄
 
Yanga wameiacha simba point 13 sasa nani wa kuumia hapo?
Unajua mara nyingi ukiwa na milioni 100 ukiona mwenzako amepata hata milioni moja unaumia labda nyie kama sio washindani wazuri. Ila mmeumia mliukamia sana mchezo ili tuu mumuonyeshe huyo malyeye halafu ndo mnapokosea timu nzima kumuabudu mtu mmoja
 
Haaaa sasa mbona hueleweki Mara simba wabovu,mara Yanga wabovu......Kuwa na jambo moja nikuelewe
Nyie ndo mlisema Simba wabovu wana kikosi kibovu sawaaaa ni kweli..Ila mimi nakwambia mimi yani kama mimi naona Yanga ni wabovuuu mbele ya Simba
 
Unajua mara nyingi ukiwa na milioni 100 ukiona mwenzako amepata hata milioni moja unaumia labda nyie kama sio washindani wazuri. Ila mmeumia mliukamia sana mchezo ili tuu mumuonyeshe huyo malyeye halafu ndo mnapokosea timu nzima kumuabudu mtu mmoja
Timu iliyowapita point 13 inaumiaje?
 
Hahaha hata Yanga wenzako watakuwa wanakushangaa, maana nyinyi ndo mlikuwa na uhakika wa kuifunga Simba Sc, kila mtu anawaza kuwa Mayele atatetema.😄
Yaaah tulikuwa wabovu sana Leo na hatukucheza vizuri Ila Simba wamecheza vzr ndo maana wameshinda mchezo wa Leo

Tulipanga unbeaten iendelee mpk tuchukue ligi ila imetokea bahati mbaya tumepoteza mchezo wa leo
 
Ni sehemu ya mchezo tu Mama ila tunaomba radhi kwa kupoteza mchezo wa leo
Nyie ni wabovuuuuu mbele ya simba usijifiche kwenye samahani hapa. Samahani mumuombe mayele kwa kumpa uwezo mkubwa ambao hana mbele ya simba
 
Yaaah tulikuwa wabovu sana Leo na hatukucheza vizuri Ila Simba wamecheza vzr ndo maana wameshinda mchezo wa Leo

Tulipanga unbeaten iendelee mpk tuchukue ligi ila imetokea bahati mbaya tumepoteza mchezo wa leo
Hahaha pole maskini umeona uje na hoja ya simba imecheza vzr semeni tuu Simba sio timu ya kubezwa.
 
Yaah hata mimi nakubali Yanga ni wabovu sana na ndio maana tumepoteza mchezo wa Leo na tupo nyuma ya simba kwenye msimamo wa ligi
Muwe mbele muwe nyuma we dont care ila nyie ni wabovuu mbele ya Simba
 
Yanga Walijidanganya Kwa Maoni Ya Wachambuzi 'Takataka' (Kwa Mujibu wa Manara) Walisema mnyama Kashuka .....Sasa Pumzi Ya Joto wameivuta...
Kaze mwenyewe Kwenye Mahojiano Amekiri..!
 
Zawadi ya Milioni Kumi! kwa atakae onesha msimano wa ligi kuu Simba akiwa anaongoza ligi

"Ntatoa Shilingi Milioni kumi kama zawadi kwa yeyote yule atakayefanikisha kunitumia msimamo wa ligi, kama msimu huu Makolo walishawahi kukaa kileleni

"Naruhusu hata kama unao msimamo wa ligi wa uongo,, Yaani hata wa kutunga kichupli ntatoa Ten Milion 🤪🤪"

"Au kama vipi atakaeweza kuugeuza msimamo juu chini, chini juu, Ten ipo palepale kama keshawahi kuishi huko kileleni japo kwa sekunde moja tu msimu huu 🤪🤪"
 
Hahaha pole maskini umeona uje na hoja ya simba imecheza vzr semeni tuu Simba sio timu ya kubezwa.
Yaah Simba imecheza mpira mzuri na simba sio timu ya kubezwa na ndio maana wameondoka na matokeo mazuri leo
 
Back
Top Bottom