Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Hongereni sana, Mugalu kafunga hat trick leoInaonekana Utopolo mmeumia sana galasa lenu kutofunga. Halafu pamoja na kupania kwa kuingia kambini week nzima na kuambulia draw kwa kweli inauma.
Yaaah inauma sana Mzee hasa kwa timu mbovu kama ya SimbaInaonekana Utopolo mmeumia sana galasa lenu kutofunga. Halafu pamoja na kupania kwa kuingia kambini week nzima na kuambulia draw kwa kweli inauma.
Pia unauma gap la point 13 bado lipo palepale na Mayele bado ni top scorer wa ligiInaonekana Utopolo mmeumia sana galasa lenu kutofunga. Halafu pamoja na kupania kwa kuingia kambini week nzima na kuambulia draw kwa kweli inauma.
Soka la kipumbavu kabisa ball possession MAKOLO 51% kwa 49% YANGA, na matokeo ni 0 - 0 kisha bado mnashangilia tu[emoji848][emoji2]mmepigiwa soka la CAF mkapaki bus
Mmeumbuka ninyi MAKOLO, kwahiyo militegemea kabisa mbamizwe na Mayele ili tena mzidiwe point 16, sasa hiyo si netball badala ya soka [emoji848][emoji3526]Mmmeumbukaaa siku nyingine msimtegemee mtu mmoja kwny timu wapenii motisha wotee
MAKOLO mliokuwa mmejipanga kimataifa mlifika wapi na kuchukua kombe lipi [emoji848][emoji1787]Yani kimataifa yanga mjipange sana.
[emoji847]Daah....kweli maisha yanabadilika sana,Leo hii Simba ni wa kushangilia sare?
Bado Mayele anawadai goli dume/1 la ngao ya hisani, kataeni na hilo [emoji848][emoji851]Baada ya gemu mwamnyeto anaulizwa vipi kwa matokeo haya mnasemaje akajibu tunefurahi sana sanaa. Chezea Simba wewe?? Utopolo walikua wanakihoro wanaiogopa Simba kama ukoma maana kukaa kileleni sio kuchukua kombe subirini kwanza
👆🏼👆🏼👆🏼Atleast Mayele hajaleta vurugu mtaanivyovyote itakavyokuwa, Mayele hatofunga wala kutetema!!
Yanga 1-2 Simba
Namuona Chama akiingia kambani huku Kapombe akitakata mechi hiyo!
Ila red card itawaathiri sana Yanga!
Simba...Nguvu Moja
Kipa alimuogopesha yule taahira wenu madevu hadi aliogopa kumfunga akaamua kuwa bondia Dula uwanjani [emoji13]Kipa wao akaamua kulala[emoji1787]
NakaziaChico ushindi na makambo ni wafanyakazi hewa
Mugalu ni mzee wa kimataifa hukoooo waulize GendermarieANAANDIKA SHAFFIH DAUDA.
Yes Inonga kamdhibiti sana Fiston Mayele asifunge naamini sote tunakubaliana
Tukigeuza sarafu, vipi Chris Mugalu amefunga?? Simply NO! Hatusemi kitu kuhusu defense ya Yanga?
Au ni tunakubaliana kuwa Fiston Mayele ndie straika hatari zaidi nchini?
USIYEMPENDA KAJA [emoji28][emoji116]Unajua mara nyingi ukiwa na milioni 100 ukiona mwenzako amepata hata milioni moja unaumia labda nyie kama sio washindani wazuri. Ila mmeumia mliukamia sana mchezo ili tuu mumuonyeshe huyo malyeye halafu ndo mnapokosea timu nzima kumuabudu mtu mmoja
Eeeeh kabisa mkuu,na hapa ligi ya Bongo alikatazwa kufunga kabisaMugalu ni mzee wa kimataifa hukoooo waulize Gendermarie
Score board inasoma aje?Yanga Walijidanganya Kwa Maoni Ya Wachambuzi 'Takataka' (Kwa Mujibu wa Manara) Walisema mnyama Kashuka .....Sasa Pumzi Ya Joto wameivuta...
Kaze mwenyewe Kwenye Mahojiano Amekiri..!