Sio kwamba yanga hawakupenda kutembeza bahasha,ila hizi timu za taasisi za serikali (JKT na PRISON) hazipokei rushwa.Tulikuwa tunasema hawa jamaa walikuwa wakinunua mechi na marefa pia. Sasahivi timu ambazo ziko na hatihati ya kushuka daraja hawakubali kuuza ndio maana unaona wanashindwa kuwafunga..
Yanga hamna timu pale, na CAF kama kawaida atapigwa nje ndani..
Na wachambuzi wa bahashaUbora wa Yanga uko mdomoni mwa haji
Hata humu ni watu tu wamestahi na hiyo yote inatokana na wao wenyewe kumsifia mara lkwa mara wameamua kumtunzia fedheha ila sio kama ni wajingakwenye vibanda umiza mayele kapokea matusi yote yaliyopo hapa ulimwenguni
Bora tujadili hili, maana mpira una wenyewe. Mayele kila akimiliki mpira anamuona Inonga anamkaba."GSM kaonyesha hati miliki ya mali zake Makonda matatani kuporwa nyumba"
Mayele huyu hafiki hata nusu ya uwezo alionao george mpole, yule ni husler sio tegemezi kama yeye kila wakati yupo nyuma kuvizia cross za juma shabani mpaka amejikuta anacheza offside nyingiBora tujadili hili, maana mpira una wenyewe. Mayele kila akimiliki mpira anamuona Inonga anamkaba.
Afu wana umoja sijui wanaambizana kuwa tusepe?Tuwaachie Uto uzi wao wauendeleze sasa
ππππ€£βοΈβοΈπππ€Afu wana umoja sijui wanaambizana kuwa tusepe?
Nabi nayeye anakariri kikosi,unamtoaje Sure boy,unamuacha Saido aliyejichokea hana jipya uwanjani?Afadhari nimemuona Nabi, cedrick simuelewagi kabisa
Mayele??? Ulikuwa unaangalia mechi gani ww? Ile impossible angle aliyorudishiwa na Feitoto? Ukisema Makambo na Morocco sawa ila ile huwezi mlaumu,wakulaumiwa pale mzenji siyo FistonGoli alilokosa mayele hata bambo hkosi
Kijinga kile,tulipigwa asubuhi tuKwa Moloko naona tumepigwa kabisa pale
Mayele alikuwa kwenye timing nzuri ya kufunga bao mwisho wa siku kacheza makida mpira ukapokwa akabaki kaduwaa haelewi hata mpira umemtokajeMayele??? Ulikuwa unaangalia mechi gani ww?