Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

Kuwa mpole unapozungumzia wachezaji wenye kujituma na ma husler kama mpole hupaswi kuwalinganisha na waviziaji
Tunawakumbusha point bado nyingi tu piganeni na kina geita.

Hustle mwenye penalty tano?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii timu ina laana
 
Dah! Naona amepishana na gari la mshahara!

Hakika ni upepo mbaya sana huu kwa Wananchi. Ila hili gundu kalianzisha Mayele kwa kukosa ile penati.
Mwanzo mbaya kwa mayele haukuwa kwenye penati tu, kuna ile nafasi ya wazi sijui alipata ganzi gani pale mpaka akashindwa kufunga
 
Mwanzo mbaya kwa mayele haukuwa kwenye penati tu, kuna ile nafasi ya wazi sijui alipata ganzi gani pale mpaka akashindwa kufunga
Bado wenge la Inonga Baka linamsumbua huyo.
 
MAKOLOKOLO msioaibisha Taifa mlifanya nini hasa zaidi ya kuzurura tu miaka minne yote klabu bingwa na kurudi home kubwatabwata kama waimba singeli [emoji848][emoji38]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Bora Makolo wanabwata sauti yao inafika mbali huko duniani. Utopolo wao wanabwata sauti yao inaishia Buza😅
 
Back
Top Bottom