Yanga SC 3-0 Tabora United | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 25.05.2024

Samaji alia na namba ndogo ya mashabiki licha ya kiingilio kua buku
 
YANGA BINGWA.

Walina asali watapigwa goli mbili tu za afya au moja la mkongo.
 
Yanga team nzuri sana kitu imekosa ni mashabiki
Sijawahi ona mashabiki wanaodeka duniani kama Yanga imagine hadi Sasa tiketi za 1000 sio sold out
Mi ni Yanga ila mashabiki wa Yanga Wana la kujifunza sana kwa Simba
Penye miti hapana wajenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…