BonventureSr
JF-Expert Member
- Nov 16, 2023
- 879
- 1,432
Asantee thats a woman .😂Huu uzi ni wa Yanga, lucas hausiki huku🤸
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asantee thats a woman .😂Huu uzi ni wa Yanga, lucas hausiki huku🤸
anakosaje paleee aaahGoal kick! Mzize kakosa kizembeee
waacheni simba mtawaua jaman wanapambana uko watoke utatu mzukaYanga 1-0 5imba wa mkoani
hata kuku pale anafunga kwa traakoMzize kakosa goal la waziiiii, mimi hili goal nimelifunga kwa macho jinsi lilivyo jepesi
Penye miti hapana wajenziYanga team nzuri sana kitu imekosa ni mashabiki
Sijawahi ona mashabiki wanaodeka duniani kama Yanga imagine hadi Sasa tiketi za 1000 sio sold out
Mi ni Yanga ila mashabiki wa Yanga Wana la kujifunza sana kwa Simba