Pamoja na kutumia hela ya zawadi kulipia madeni ya akina Okrah, Kambole, Bigirimana, makocha wote tangu Zahera na wengineo, bado hela hizo za zawadi hazijatosha kumaliza madeni. Kuendesha klabu nane si kazi ndogoHivi punde Baada ya TFF kujibu mapigo Kuwa Yanga waliandika barua pesa Yao iwe katwa kulipia ada ya Wacheaji Wa kigeni Lakini Yanga imetoa taarifa Kuwa haijawahi kulipwa pesa yoyote. Kwa misimu mitatu mfululizo.
Tff wametingisha meza yenye vinywaji vya gharama sana yan🤣🤣Hivi punde Baada ya TFF kujibu mapigo Kuwa Yanga waliandika barua pesa Yao iwe katwa kulipia ada ya Wacheaji Wa kigeni Lakini Yanga imetoa taarifa Kuwa haijawahi kulipwa pesa yoyote. Kwa misimu mitatu mfululizo.
Tff wametingisha meza yenye vinywaji vya gharama sana yan🤣🤣
Hesabu gani bro wakati wao wanapaswa kutoa risiti za malipo kama waliwalipa kweli hii biashara ya kishikaji ndo itawagharimu TFFYanga ni timu inaendeshwa na vijana wapuuzi waliojaa uswahili swahili na ushabiki. TFF wamesema kwenye barua kesho waende wakafanye hesabu zao. Sasa maneno yote ya nini? mitandaoni? Ndio hawa hawa waliopeleka kesi ambayo haijasikilizwa CAS..
Si kazi ya tff kuanika risiti, kazi za songesha ndo hii hasara yake. Mlishindwa nini kulipa ada hadi msongeshe kwenye zawadi za ubingwa?? Gsm ana hela kumbe mnasongesha. Na hapa mliaanza kuwazia pesa za ligi msongesheHesabu gani bro wakati wao wanapaswa kutoa risiti za malipo kama waliwalipa kweli hii biashara ya kishikaji ndo itawagharimu TFF
Professional ya wapi hiyo kama unamkata mtu pesa bila makubaliano wala mawasiliano😀Yanga ni wapuuzi and very unproffesional wameambiwa waende wakapige hesabu kesho sasa hii mipasho yanini?
Aliyeandika hii barua kuijibu TFF hana weledi. Huwezi jibu barua kishabiki hivi. Tatzizo lao hawa wanashindwa kutofautisha ushabikina professionalism kwenye majukumu yao.Tumeona taarifa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, TFF kuwa inaidai Klabu ya Young Africans SC bila kutoa ufafanuzi wa deni lenyewe.
Tunapenda kuujulisha Umma, kuwa Klabu ya Young Africans haijawahi kulipwa fedha yoyote ya Ubingwa wa Kombe la Shirikisho kwa Misimu mitatu mfululizo, (2021/2022, 2022/2023 na 2023/24).
TFF wamekuwa wakishikila fedha hizi za Ubingwa kwenye akaunti zao kila Msimu unapomalizika huku wakifahamu ni makosa na ni kinyume cha utaratibu.
Hakuna uthibitisho wowote wa kimaandishi kuonyesha kama TFF wamewahi kulipa fedha hizi za Ubingwa kwa Klabu ya Yanga.
Ni aibu na fedheha na kumtia dosari mdhamini kuendesha mashindano bila kumlipa Bingwa kwa misimu mitatu mfululizo.
Tunaelekeza, dawa ya deni ni kulipa kwa wakati ikiwa ni haki ya mshindi na inampa heshima mdhamini wa mashindano.
leleweke, ada za malipo ya wachezaji wa kigeni walizozisema kwenye taarifa yao hulipwa mwanzo wa msimu mpya na hela hizi za Ubingwa hutolewa Mwisho wa msimu.
Klabu ya Young Africans haijawahi kupokea taarifa yoyote rasmi kutoka TFF kuhusu Klabu yetu kuwa na deni kwao.
Uongozi wa Klabu ya Young Africans unaendelea kusisitiza kulipwa pesa yake ya Ubingwa wa Kombe la Shirikisho la CRDB, kwa msimu wa 2023/24 ili tuweze kucheza mchezo wa Fainali siku ya tarehe 28 Juni, 2025.