Yanga SC: Hatujalipwa pesa yoyote ya ubingwa wa Shirikisho kwa misimu mitatu mfululizo

Yanga SC: Hatujalipwa pesa yoyote ya ubingwa wa Shirikisho kwa misimu mitatu mfululizo

Nashangaa sana kuona taasisi kama Yanga ikidai malipo yake mtandaoni. Kwani club yao haina wahasibu?
 
Paragraph ya tano na sita ni ushabiki kukosa weledi. Kumbuka TFF itaendelea kuwapo na Yanga itaendelea kuwapo, kwa hiyo uhusiano wao unatakiwa kundelea, hizo paragraph zimeandikwa kitoto.
Napokea maoni yako ya kikubwa yasiyo ya kishabiki.
 
Back
Top Bottom