DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
We dg sitaki mazoea... Acha kunizoeaNyie ndo ******* ******** ZENU
We dg sitaki mazoea... Acha kunizoeaNyie ndo ******* ******** ZENU
Hata TFF wanajua mengi kuhusu YANGAWakuu
hii vita ni mbichi Kuna mambo mengi kwenye mpira wetu hawa yanga mbona kama wanajua mambo mengi kuhusu TFF?View attachment 3363322
Sasa hapo kosa linakuwa la naniHata TFF wanajua mengi kuhusu YANGA
Kila mtu anamjua mwenzake,na hili litasaidia usela usela kuisha kwenye mpira wetu, ikumbukwe hata mikataba minono ya Azam TV bila Yanga kusimamia kucha,na Simba kuwa legelege,vilabu visingefaidika kama saizi ila ni Yanga ilisimama kutetea haki huku mbumbumbu wakihujumuHata TFF wanajua mengi kuhusu YANGA
Kuna team ilikua inaitwa Lipuli FC, ilifika fainali na kombe la shirikisho kipindi hiko linadhaminishwa na Azam,,,ile fainali ilikua ni kati ya Azam FC vs Lipuli FC, na ubingwa ulichukuliwa na Azam, pesa ya mshindi wa pili team ya lipuli hakupewa hadi alishukaga daraja, baada kama ya miaka miwili kupita nadhani team ikiwa daraja la chini huko, viongozi wake ikabidi watoe taarifa mitandaoni, kilichofuata kwao ni kwamba viongozi wote walikula nyundo ya maisha, kisa kudai haki yao,Hii ni fedheha kubwa kwenye mpira wa Tanzania, napata picha hakuna klabu isiyo dai fedha pale Tff.
Upo uwezekano mkubwa zipo klabu kama si zote zinapunjwa fedha zao za udhamini kwa mitindo kama hii.
Ni swala la muda tu Kila kitu kitakua wazi.
Sasa naelewa kwanini inakua ngumu watu kuondoka pale Tff.
Kuna Salum Madadi, Sunday Kayuni n. K Wana miaka zaidi ya 30 wako pale awatoki.
Ndo maana hawakushinda kesi huko CAS, timu imejaa vijamaa flani vijanja janja ambavyo vinataka kuitumia Yanga kupata umaarufu ila kuna codes wanazimis ili kutimiza hayo malengo yao, in short, wamefeli.Yanga ni timu inaendeshwa na vijana wapuuzi waliojaa uswahili swahili na ushabiki. TFF wamesema kwenye barua kesho waende wakafanye hesabu zao. Sasa maneno yote ya nini? mitandaoni? Ndio hawa hawa waliopeleka kesi ambayo haijasikilizwa CAS..
Wana mdanganya kwamba wanamfanyia kazi kuelekea uchaguzi Mkuu, kumbe wana yaoTFF ni KIKUNDI CHA WAHUNI waliojificha kwenye uongozi wa soka.
Nashangaa mpaka sasa hao hakina KARIA na wenzake bado wapo uraiani!.
TAKUKURU ya Samia kama imelala vile!
Yanga ni timu inaendeshwa na vijana wapuuzi waliojaa uswahili swahili na ushabiki. TFF wamesema kwenye barua kesho waende wakafanye hesabu zao. Sasa maneno yote ya nini? mitandaoni? Ndio hawa hawa waliopeleka kesi ambayo haijasikilizwa CAS..
Hebu tuandikie hiyo barua kiprofessinalisim ndugu proffessional!!. Unataka watomaswa wanapoambiwa ukweli? Watanzania bana😂Aliyeandika hii barua kuijibu TFF hana weledi. Huwezi jibu barua kishabiki hivi. Tatzizo lao hawa wanashindwa kutofautisha ushabikina professionalism kwenye majukumu yao.
Cha ajabu ndio hao hao wanachukua vikombeHii team inaendeshwa kisela
Elezea ushabiki upo wapi hapo.Aliyeandika hii barua kuijibu TFF hana weledi. Huwezi jibu barua kishabiki hivi. Tatzizo lao hawa wanashindwa kutofautisha ushabikina professionalism kwenye majukumu yao.
Paragraph ya tano na sita ni ushabiki kukosa weledi. Kumbuka TFF itaendelea kuwapo na Yanga itaendelea kuwapo, kwa hiyo uhusiano wao unatakiwa kundelea, hizo paragraph zimeandikwa kitoto.Elezea ushabiki upo wapi hapo.
Unajifanya unajua sana sioParagraph ya tano na sita ni ushabiki kukosa weledi. Kumbuka TFF itaendelea kuwapo na Yanga itaendelea kuwapo, kwa hiyo uhusiano wao unatakiwa kundelea, hizo paragraph zimeandikwa kitoto.