Yanga SC: Hatujalipwa pesa yoyote ya ubingwa wa Shirikisho kwa misimu mitatu mfululizo

Yanga SC: Hatujalipwa pesa yoyote ya ubingwa wa Shirikisho kwa misimu mitatu mfululizo

Naam
 

Attachments

  • FB_IMG_17495646525669376.jpg
    FB_IMG_17495646525669376.jpg
    359.6 KB · Views: 25
  • FB_IMG_17495646586284123.jpg
    FB_IMG_17495646586284123.jpg
    448.9 KB · Views: 24
Yanga wameishiwa hela, msimu ujao lazima mjiunge songesha
 
Hapo ushajiuliza walioshika nafasi ya pili je walilipwa ndani ya misimu hiyo?

Marefa na makamisaa wa michuano hiyo vipi nao walilipwa kwa misimu hiyo mitatu?

Vipi timu zilizo shiriki nazo je zililipwa kwa misimu hiyo mitatu?

Au na hawa nao TFF wanawadai?

Hapa tena Azam nae lazima atajibu, kwani ktk misimu mitatu, miwili yeye ndiye aliyekuwa mdhamini,maana kukaa kimya ni kuichafua brand yake.Kesho Yanga wanaamka na press nyingine.
 
Pamoja na kutumia hela ya zawadi kulipia madeni ya akina Okrah, Kambole, Bigirimana, makocha wote tangu Zahera na wengineo, bado hela hizo za zawadi hazijatosha kumaliza madeni. Kuendesha klabu nane si kazi ndogo
 

Attachments

  • FB_IMG_17495646586284123.jpg
    FB_IMG_17495646586284123.jpg
    448.9 KB · Views: 20
Yanga ni wapuuzi and very unproffesional wameambiwa waende wakapige hesabu kesho sasa hii mipasho yanini?
Kupiga hesabu ya nini na nani na wakati kila kitu kipo kwenye maandishi
 

Attachments

  • FB_IMG_17495646525669376.jpg
    FB_IMG_17495646525669376.jpg
    359.6 KB · Views: 27
  • FB_IMG_17495646586284123.jpg
    FB_IMG_17495646586284123.jpg
    448.9 KB · Views: 25
Aliyeandika hii barua kuijibu TFF hana weledi. Huwezi jibu barua kishabiki hivi. Tatzizo lao hawa wanashindwa kutofautisha ushabikina professionalism kwenye majukumu yao.
Kweli kupenda chongo ni hatari,ile Barua ya TFF ina tofauti gani na hii ya Yanga? Kama TFF ni weledi wangeweka madeni waliyokuwa wanaidai Yanga bila kusahau na hiyo barua ya Yanga ya kuomba kukatwa hela zao za Ubingwa.
 
Timu inanuka madeni halafu wanatunisha tubega twao eti wako tayari kushuka daraja.

Nyie mkishuka daraja tunawasahau kabisa. Tutabaki kuwahadithia watoto na wajukuu zetu kuwa mliwahi kuwepo kama Lipuli au Reli.
 
Hii ni fedheha kubwa kwenye mpira wa Tanzania, napata picha hakuna klabu isiyo dai fedha pale Tff.

Upo uwezekano mkubwa zipo klabu kama si zote zinapunjwa fedha zao za udhamini kwa mitindo kama hii.
Ni swala la muda tu Kila kitu kitakua wazi.
Sasa naelewa kwanini inakua ngumu watu kuondoka pale Tff.
Kuna Salum Madadi, Sunday Kayuni n. K Wana miaka zaidi ya 30 wako pale awatoki.
 
😁😁😁😁😁 TFF ina dhalilishwa huku !!!!

Maskini Wallace karia TFF ina kwenda kumfia mikononi mwake what a shame !!!
 
Hii ni fedheha kubwa kwenye mpira wa Tanzania, napata picha hakuna klabu isiyo dai fedha pale Tff.

Upo uwezekano mkubwa zipo klabu kama si zote zinapunjwa fedha zao za udhamini kwa mitindo kama hii.
Ni swala la muda tu Kila kitu kitakua wazi.
Sasa naelewa kwanini inakua ngumu watu kuondoka pale Tff.
Kuna Salum Madadi, Sunday Kayuni n. K Wana miaka zaidi ya 30 wako pale awatoki.
Yule boss wa Gwambina alikuwa sahihi kusema anaugeuza uwanja wake wa mpira kuwa zizi kutokana na upuuzi huu wa viongozi wa TFF
 
Hawa yanga ni ******* misimu yote ambayo walikua hawapewi hela mbona hawakusema.... shenzy kabisa
 
Ni wazi yanga na TFF kuna namna wanajuana,ule mkataba wa ligi kuu GSM kama mdhamini mwenza kwenye ligi na TFF ikasema mkataba huo usihojiwe pale kulikuwa na dosari kubwa, huwezi kujua inawezekana GSM alikuwa anatoa huo udhamini kwa hela za ubingwa .


Yetu macho na masikio Simba tumekaa pale tar 15 yanga wasipoleta timu uwanjani nasisi tunaanza kukiwasha points zetu za mezani .
Subiri reforms zifanyike wale wahuni pale TFF watoke then kipigwe, msililie ganda la ndizi mkuu🤣
 
Back
Top Bottom