C cj21125 JF-Expert Member Joined May 12, 2013 Posts 3,592 Reaction score 3,542 Jun 11, 2025 #61 Nashangaa sana kuona taasisi kama Yanga ikidai malipo yake mtandaoni. Kwani club yao haina wahasibu?
Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 17,119 Reaction score 32,195 Jun 11, 2025 #62 Kiraka said: Paragraph ya tano na sita ni ushabiki kukosa weledi. Kumbuka TFF itaendelea kuwapo na Yanga itaendelea kuwapo, kwa hiyo uhusiano wao unatakiwa kundelea, hizo paragraph zimeandikwa kitoto. Click to expand... Napokea maoni yako ya kikubwa yasiyo ya kishabiki.
Kiraka said: Paragraph ya tano na sita ni ushabiki kukosa weledi. Kumbuka TFF itaendelea kuwapo na Yanga itaendelea kuwapo, kwa hiyo uhusiano wao unatakiwa kundelea, hizo paragraph zimeandikwa kitoto. Click to expand... Napokea maoni yako ya kikubwa yasiyo ya kishabiki.