Kwa hiyo aucho kaitwa kwenye national team au hajaitwa?Broo, it seems u know nothing about football nowadays
Khalid Aucho kapewa Ucaptain jana wa timu taifa baada ya Okwi kutoitwa timu ya taifa coz now mwamba hana timu anayo chezea kwahyo level yake ya competition ni ndogo
Na huyo ameitwa si kwa sababu ya uhitaji wa kocha Hector Cuper katika nafasi yake, bali ni kwa sababu ya kutokuwapo kwa mchezaji aitwaye Fabrice Nsakala Mayélé (Besiktas) ambaye yuko injured. huwa anacheza nafasi ya beki wa kushoto.Hapo kuna mchezaji 1 tu wa Tp mazembe ambaye ni Arsene Zolla ila As vita hakuna player hata mmoja, halafu ndo uje uulize wachezaji wa kutoka simba na Yanga kutoka congo yenye player kibao wanacheza Ufaransa na Ubelgiji
hawa ndio walio itwa?Khalid Aucho
Djigui Diaara
Yacouba Sogne
Saido Ntibanzonkiza
Khalid AuchoKwa hiyo yanga haijapeleka mchezaji hata mmoja national team ukiachana na wachezaji wa hapa ndani?
Yanga wangekuwa na wachezaji kutoka MALAWI ingepeleka wachezaji wengi sana ila ni kwa bahati mbaya wachezaji wengi wanatokea katika timu za Taifa ambazo zimewahi kushiriki Kombe la Dunia.Kwa hiyo yanga haijapeleka mchezaji hata mmoja national team ukiachana na wachezaji wa hapa ndani?
Yaah huyo zolla anacheza kushotoNa huyo ameitwa si kwa sababu ya uhitaji wa kocha Hector Cuper katika nafasi yake, bali ni kwa sababu ya kutokuwapo kwa mchezaji aitwaye Fabrice Nsakala Mayélé (Besiktas) ambaye yuko injured. huwa anacheza nafasi ya beki wa kushoto.
Yanga ina wachezaji wangapi timu ya taifa ya Tanzania the lowest ranked country FiFa ukilinganisha na hiyo DRC ?Swali ni hili...
Je kuna mchezaji yeyote kutoka Simba SC angepata hata kuitwa timu ya Taifa kama angekuwa Mkongo, M'bukina Faso au M'mali? Yanga ina wachezaji takriban 1O kutoka mataifa hayo bora kisoka barani Afrika.
Ukishindwa kulielewa swali nijuze nikufafanulie zaidi.
Wachezaji wote ambao wanaanza kwenye first eleven ya Yanga wameitwa timu ya Taifa Coz sisi hatupeleki wachezaji kwenda kubahatishaYanga ina wachezaji wangapi timu ya taifa ya Tanzania the lowest ranked country FiFa ukilinganisha na hiyo DRC ?
Ramadhani Kabwili anaanza kwenye first eleven yenu ?Wachezaji wote ambao wanaanza kwenye first eleven ya Yanga wameitwa timu ya Taifa Coz sisi hatupeleki wachezaji kwenda kubahatisha
Feisal salum
Bakari Nondo mwamnyeto
Dickson Job
Kibwana Shomari
Ramadhani kabwili
Imepeleka wachezaji wangapi ?Yanga SC inawachezaji regural pale National Team 3 ambao wote hao sio bench warmers.
Sijaona kwenye page ya yangaKhalid Aucho
Djigui Diaara
Yacouba Sogne
Saido Ntibanzonkiza
kwa maana hiyo yanga ilibahatika kusajili wachezaji wabovu ambao ni unwanted kwenye national team?Yanga wangekuwa na wachezaji kutoka MALAWI ingepeleka wachezaji wengi sana ila ni kwa bahati mbaya wachezaji wengi wanatokea katika timu za Taifa ambazo zimewahi kushiriki Kombe la Dunia.
Ulishaona Manchester united kwenye page yake inaweka majina ya wachezaji walioitwa timu ya taifaSijaona kwenye page ya yanga
Henock enonga ameitwa mbona hujamuweka?Mechezaji gani wa Simba wa Kikongo ameitwa timu ya Taifa ya Kongo?
Orodha ya wachezaji walio itwa Kongo.
1. Mandanda Parfait
2. Kiassumbwa Joël
3. Mpasi Nzau Lionel
4. Lomboto Hervé
5. Ngonda Muzinga
6. Mbemba Chancel
7. Nathan Idumba
8. Zola Arsène
9. Kayembe Edo
10. Okita Jonathan
11. Muleka Jackson
12. Moutoussamy Samuel
13. Akolo Chadrac
14. Dieumerci Mbokani
15. Ben Malango
16. Cédric Bakambu
17. Samuel Bastien
1. Nsakala Fabrice
2. Luyidama Christian
3. Mukoko Amale
4. Ngoma Fabrice
Tusisahau hata Tonombe aliwahi kuitwa May 2021.
enock inonga mbona hujamuweka?Mechezaji gani wa Simba wa Kikongo ameitwa timu ya Taifa ya Kongo?
Orodha ya wachezaji walio itwa Kongo.
1. Mandanda Parfait
2. Kiassumbwa Joël
3. Mpasi Nzau Lionel
4. Lomboto Hervé
5. Ngonda Muzinga
6. Mbemba Chancel
7. Nathan Idumba
8. Zola Arsène
9. Kayembe Edo
10. Okita Jonathan
11. Muleka Jackson
12. Moutoussamy Samuel
13. Akolo Chadrac
14. Dieumerci Mbokani
15. Ben Malango
16. Cédric Bakambu
17. Samuel Bastien
1. Nsakala Fabrice
2. Luyidama Christian
3. Mukoko Amale
4. Ngoma Fabrice
Tusisahau hata Tonombe aliwahi kuitwa May 2021.
Unaweza kuithibitisha kwamba wachezaji simba ili bahatika kusajili wabovu ambao ni unwanted?kwa maana hiyo yanga ilibahatika kusajili wachezaji wabovu ambao ni unwanted kwenye national team?
Ingia katika website rasmi ya Linafoot halafu utazame kikosi alichokitangaza Kocha Hector Cuper juzi uone kama kuna mchezaji kutoka Tanzania.enock inonga mbona hujamuweka?