Yanga SC Inawachezaji wengi wanaotoka kwenye mataifa makubwa kimpira. Ndio maana hawaitwi katika timu zao za taifa

Yanga SC Inawachezaji wengi wanaotoka kwenye mataifa makubwa kimpira. Ndio maana hawaitwi katika timu zao za taifa

Broo, it seems u know nothing about football nowadays

Khalid Aucho kapewa Ucaptain jana wa timu taifa baada ya Okwi kutoitwa timu ya taifa coz now mwamba hana timu anayo chezea kwahyo level yake ya competition ni ndogo
Kwa hiyo aucho kaitwa kwenye national team au hajaitwa?
 
Hapo kuna mchezaji 1 tu wa Tp mazembe ambaye ni Arsene Zolla ila As vita hakuna player hata mmoja, halafu ndo uje uulize wachezaji wa kutoka simba na Yanga kutoka congo yenye player kibao wanacheza Ufaransa na Ubelgiji
Na huyo ameitwa si kwa sababu ya uhitaji wa kocha Hector Cuper katika nafasi yake, bali ni kwa sababu ya kutokuwapo kwa mchezaji aitwaye Fabrice Nsakala Mayélé (Besiktas) ambaye yuko injured. huwa anacheza nafasi ya beki wa kushoto.
 
Kwa hiyo yanga haijapeleka mchezaji hata mmoja national team ukiachana na wachezaji wa hapa ndani?
Yanga wangekuwa na wachezaji kutoka MALAWI ingepeleka wachezaji wengi sana ila ni kwa bahati mbaya wachezaji wengi wanatokea katika timu za Taifa ambazo zimewahi kushiriki Kombe la Dunia.
 
Na huyo ameitwa si kwa sababu ya uhitaji wa kocha Hector Cuper katika nafasi yake, bali ni kwa sababu ya kutokuwapo kwa mchezaji aitwaye Fabrice Nsakala Mayélé (Besiktas) ambaye yuko injured. huwa anacheza nafasi ya beki wa kushoto.
Yaah huyo zolla anacheza kushoto
 
Swali ni hili...

Je kuna mchezaji yeyote kutoka Simba SC angepata hata kuitwa timu ya Taifa kama angekuwa Mkongo, M'bukina Faso au M'mali? Yanga ina wachezaji takriban 1O kutoka mataifa hayo bora kisoka barani Afrika.

Ukishindwa kulielewa swali nijuze nikufafanulie zaidi.
Yanga ina wachezaji wangapi timu ya taifa ya Tanzania the lowest ranked country FiFa ukilinganisha na hiyo DRC ?
 
Yanga ina wachezaji wangapi timu ya taifa ya Tanzania the lowest ranked country FiFa ukilinganisha na hiyo DRC ?
Wachezaji wote ambao wanaanza kwenye first eleven ya Yanga wameitwa timu ya Taifa Coz sisi hatupeleki wachezaji kwenda kubahatisha

Feisal salum
Bakari Nondo mwamnyeto
Dickson Job
Kibwana Shomari
Ramadhani kabwili
 
Ramadhani Kabwili anaanza kwenye first eleven yenu ?
 
Yanga ina wachezaji wangapi timu ya taifa ya Tanzania the lowest ranked country FiFa ukilinganisha na hiyo DRC ?
Yanga SC inawachezaji regural pale National Team 3 ambao wote hao sio bench warmers.
 
Yanga wangekuwa na wachezaji kutoka MALAWI ingepeleka wachezaji wengi sana ila ni kwa bahati mbaya wachezaji wengi wanatokea katika timu za Taifa ambazo zimewahi kushiriki Kombe la Dunia.
kwa maana hiyo yanga ilibahatika kusajili wachezaji wabovu ambao ni unwanted kwenye national team?
 
Mechezaji gani wa Simba wa Kikongo ameitwa timu ya Taifa ya Kongo?
Orodha ya wachezaji walio itwa Kongo.
1. Mandanda Parfait
2. Kiassumbwa Joël
3. Mpasi Nzau Lionel
4. Lomboto Hervé
5. Ngonda Muzinga
6. Mbemba Chancel
7. Nathan Idumba
8. Zola Arsène
9. Kayembe Edo
10. Okita Jonathan
11. Muleka Jackson
12. Moutoussamy Samuel
13. Akolo Chadrac
14. Dieumerci Mbokani
15. Ben Malango
16. Cédric Bakambu
17. Samuel Bastien
1. Nsakala Fabrice
2. Luyidama Christian
3. Mukoko Amale
4. Ngoma Fabrice

Tusisahau hata Tonombe aliwahi kuitwa May 2021.
Henock enonga ameitwa mbona hujamuweka?
 
Yule kipa wetu anayedaka hadi mishale vipi naye ameenda kwenye neshino timu?

Wasije tuumizia tukaanza kufungwa.
 
Mechezaji gani wa Simba wa Kikongo ameitwa timu ya Taifa ya Kongo?
Orodha ya wachezaji walio itwa Kongo.
1. Mandanda Parfait
2. Kiassumbwa Joël
3. Mpasi Nzau Lionel
4. Lomboto Hervé
5. Ngonda Muzinga
6. Mbemba Chancel
7. Nathan Idumba
8. Zola Arsène
9. Kayembe Edo
10. Okita Jonathan
11. Muleka Jackson
12. Moutoussamy Samuel
13. Akolo Chadrac
14. Dieumerci Mbokani
15. Ben Malango
16. Cédric Bakambu
17. Samuel Bastien
1. Nsakala Fabrice
2. Luyidama Christian
3. Mukoko Amale
4. Ngoma Fabrice

Tusisahau hata Tonombe aliwahi kuitwa May 2021.
enock inonga mbona hujamuweka?
 
kwa maana hiyo yanga ilibahatika kusajili wachezaji wabovu ambao ni unwanted kwenye national team?
Ni wabovu & Unwanted ila kwa apa Bongo watazichapa sana fimbu.

Kama mbovu na unwanted Mayele alichokifanya majuzi pale kwa Mkapa.
 
enock inonga mbona hujamuweka?
Ingia katika website rasmi ya Linafoot halafu utazame kikosi alichokitangaza Kocha Hector Cuper juzi uone kama kuna mchezaji kutoka Tanzania.

Ila kama Ukimuona screenshot then utubandikie hapa, kama ujamuona waweza kuvunga tu kwa kukaa kimya maana nao ni uutu uzima. 😂 😂
 
Back
Top Bottom