Weka link hiyo mipasho haitakusaidia, mipasho kama hiyo mlimpa wales karia na still kombe hamkupata, sasa mimi nani mpaka nione nakosewa sana?Nina wasiwasi na elimu yako, haya ndo madhara ya "Big result now"
Unachamba kuliko hata mkono wa kushoto, kuizungumzia sana elimu hakukufanyi kuwa msomiHatuwezi kukutafunia kila kitu wewe kolo na tunakuacha na ujinga wako na matokeo ya "Big results now"
Mkuu research huwa inapingwa kwa researchWeka link hiyo mipasho haitakusaidia, mipasho kama hiyo mlimpa wales karia na still kombe hamkupata, sasa mimi nani mpaka nione nakosewa sana?
Weka link
Unaandika riwaya eti kuhalalisha Kwamba Henoc Inonga kaitwa national team, Broo are serious!
Kibaya zaidi jana kaonekana kwenye mazoezi ya simba pale Bunju
Umeweka kikosi kupitia source za kufoji, hakuna credible source inayokubaliana na taarifa zenu, na nyie mnalijua hilo na ndio maana hamuwezi kuweka links hizo hapa kumalizi huu ubishiMkuu research huwa inapingwa kwa research
Tumeweka Kikosi cha congo DRC kilichoitwa na source zake kwamba Hakuna player wa congo anayetoka ligi ya Tanzania ila ww umesema yupo na inaitwa Henoc Inonga basi to cut long story short Weka Kikosi hicho cha congo na source yake, very easy na wala hutakiwi kutumia nguvu na kuandika riwaya kutetea ujinga ambao unajua ukweli wake
Kuna fact gani ambayo umeiweka?Very easy strategy
"Facts hupingwa na facts ila huwezi kutumia opinions kuipinga facts" utaonekana kichaa
While
"Opinions hupingwa na facts"
Hahaha! Una andika riwaya kutetea Opinions zako, are you kidding?Hawa wamezoea kudanganywa huko utopoloni nao wanayachukua maneno kama yalivyo bila kuyafanyia tathmini
Wameanza mbali, ooh sijui ukienda insta na fb kwenye pages za kikongo utaona.
Hawa inaonekana hata hawana ile tiny clue, timu ya taifa ya kongo ina account twitter ambayo ni official, hakuna page yeyote facebook wala instagram
Pili hata kwenye hiyo page ya tweeter ukiingia utaona post ya mwisho ilikua ni tarehe 1 mwezi wa 9,, hakuna update yeyote kuhusiana na habari za kikosi cha timu ya taifa kilichoitwa
Wameanza kujitupatupa kama kuku aliyekatwa shingo, mmoja kasema hizo data zipo kwenye website ya linafoot, mi nikaingia hapo, napo huko nimekuta post ya mwisho ina siku tatu, halafu nsyo hsizungumzii chochote kuhusiana na timu ya taifa
Haya wametoka hapo wamekuja na picha ambayo imetengenezwa kindezi sana, chini ya ile picha kulikua na site name ambalo lilionesha kua ndio source ya hiyo habari pichani.
Nako huko chenga hakuna kitu, sasa kwanini wasikubali tu kua tuli invent uzushi tulijua utakua easy deluded kama utopolo ila tusamehe tu, mi ningewaelewa
Hivi we utopolo hizo facts zenyewe unazijua hata rangi yake ikoje?Hahaha! Una andika riwaya kutetea Opinions zako, are you kidding?
To cut long story short, give facts to your defending point
And if you don't have facts.
From now on, u have no right to have conversation with me
Hahaha! Una andika riwaya kutetea Opinions zako, are you kidding?Hivi we utopolo hizo facts zenyewe unazijua hata rangi yake ikoje?
Mimi nimekuwekea facts za link ambazo kwa madai yenu mlidai kua hizo links zina majibu ya hoja zenu
Nakuuliza swali, unakubaliana na hoja ya kwamba nyinyi ndio mliopendekeza site ya linafoot kua ndio ina majibu ya hizo hoja zenu?
Unakubali kua kauli yenu ya kusema site ya linafoot haina majibu yeyote kuhusiana na wachezaji wa kongo walioitwa national team?
Nijibu hayo maswali nyie manyani
Mambo yasiwe mengi mkuu, kumbe hata Instagram page rasmi ya Congo DRC national team huijuiKuna fact gani ambayo umeiweka?
Kuna link yeyote kutoka credible source inayothibitisha madai yako au ni vile vipicha ambavyo hata mimi naweza nikavi edit na kukupa ndio unaviita fact?
Nyani wee
Unaandika riwaya halafu hujui page ya national team ya congo kule Instagram.Umeweka kikosi kupitia source za kufoji, hakuna credible source inayokubaliana na taarifa zenu, na nyie mnalijua hilo na ndio maana hamuwezi kuweka links hizo hapa kumalizi huu ubishi
Usiseme hakuna player wa kongo kwenye ligi ya tanzania ilihali huko ulipoona hicho kikosi ambacho wamekisekana wachezaji wa club za tz huwezi kuthibitisha kua habari hiyo ipo real
Mimi nimekuambia henoc inonga kaitwa national team kulingana na list iliyotolewa na club ya simba.
Wewe umedai ni uongo kwasababu una data sahihi kutoka vyanzo vya kuaminika ambazo zinaonesha huyo henoc hayupo kwenye kikosi.
Sasa nimekuomba links za hizo source umeshindwa, saizi unaniambia nikupe mimi uthibitisho, kivipi? Ina maana ulijitungia?
Mimi ndio nimekua wakwanza kukuambia hakuna update yeyote kwenye pages ya national team ya kongo, sasa hizo data zako ulizitolea wapi?
Haya nenda kaingie Leopardsfoot kule Instagram halafu ulete mrejesho
Kama ulikua huijui link, hii hapo ni link moja wapo ambayo mwenzako ameonesha picha yenye habari iliyopostiwa kwenye hiyo site
Sasa mimi nime visit hiyo site, sijakutana na ile habari ambayo nimeiona kwenye picha ya mdau.
Naomba uitembelee hiyo site ujihakikishie na wewe halafu unioneshe hiyo habari iko wapi
Ukishindwa nitakuita nyani katika kila comment yangu, sio nyani kwa maana ya tusi, nyani kwa maana ya sifa yenu mliyoelezewa na lucy eymael
Haya kumbe level ya UMBUMBUMBU wako bado ni mkubwa sana nenda Instagram Tembelea page inaitwa LeopardsfootWeka link hiyo mipasho haitakusaidia, mipasho kama hiyo mlimpa wales karia na still kombe hamkupata, sasa mimi nani mpaka nione nakosewa sana?
Weka link
Na wa hapa ndani wengi wanakula benchi tuKwa hiyo yanga haijapeleka mchezaji hata mmoja national team ukiachana na wachezaji wa hapa ndani?
Kama zina link wewe unakwama wapi ?huko nimeenda sijaona, na inaonekana hufuatilii huu mlolongo.
Hiyo site ya linafoot aliyosema ina hizo takwimu, wewe umeihakikisha?
Hata pages za facebook na insta zina link, mnashindwa nini kuweka hizo links?
Umempiga na kitu kizito kwa head.Unaweza kunionesha ni lini manchester united iliitisha press kwa ajili ya kuzindua kalenda?
Hivi wewe utopolo unapatia wapi nguvu ya kusema wewe sio limbukeni?
Au club gani kubwa uliona mashabiki wanaitana kwenda airport kuwabeba wachezaji wao juu juu?
Mimi nataka mnipe hiyo link ya hao wachezaji ambao katika list, mchezaji wa simba hayupo