Yanga SC Inawachezaji wengi wanaotoka kwenye mataifa makubwa kimpira. Ndio maana hawaitwi katika timu zao za taifa

Hahaha [emoji1787] Mataifa makubwa hata hayajawai kushinda Afcon,jivunie kilicho chako,swali timu yako ya Tanzania timu ipi imetoa wachezaji wengi?
Mbona Simba inajitapa kuwa ni timu kubwa Afrika wakat hata nusu fainali ya michuano ya Klabu bingwa haijawah fuzu?
 
hiki ulichokiweka hapa hata mimi naweza nikakifanya maradufu yake, naweza nikakuongezea idadi ya wachezaji hapo na pia nikitaka naweza nikawapunguza wachezaji ninao wataka, je nitakua nimekuthibitishia kua picha hiyo inasadiki ukweli?
Kwa hiyo nime edit orodha rasmi ya kikosi si ndio...? Hebu jaribu wewe ku-edit tuone kama unaweza.
 
 
Yanga inawachezJi wengi wazee kaka hawana tarlent wew ungesema mpira wetu bado upo chini
 
Hatuwezi kukutafunia kila kitu wewe kolo na tunakuacha na ujinga wako na matokeo ya "Big results now"

Alisema nimletee orodha rasmi, nikaleta - akasema macho yake mabovu hayaoni vizuri.

Nikamletea picha orodha rasmi yenye maandishi makubwa - akasema nime Edit.

Nikamletea link ya ukurasa rasmi wa shirikisho la mpira wa miguu kongo ambayo inampeleka moja kwa moja kwenye kikosi cha wachezaji watakao wavaa madagascar - akasema ukurasa umeandikwa kifaransa yeye hawezi kusoma na kuelewa. (

😂 😂 😂 😂
 
Yanga inawachezJi wengi wazee kaka hawana tarlent wew ungesema mpira wetu bado upo chini
Sakho na Kanoute ni Vijana. Je wameitwa kwenye timu zao za Taifa?

Meddie Kagere ana miaka 34 kaitwa Je yeye ni kijana zaidi kuliko Yacouba Sogne?
 
research yake ni ukurasa rasmi wa simba.

Hana uwezo wa kuleta orodha ya wachezaji walio itwa timu ya taifa ya Congo ambamo Inonga yumo

Hana Uwezo huo

Narudia tena...Hana uwezo huo..


Yaani hata ku-edit...hana uwezo huo.
 
Mkuu demigod nimemwambia akaingie Leopardsfoot hiyo ndo officail page ya timu ya taifa ya congo aende akaangalie kikosi huko
 
Acha kuzunguka tu we sema wachezaji wa yanga ni low quality hawana viwango vya kucheza timu za taifa hata wakiitwa husalia benchi tu.
Mchezaji gani kutoka Simba SC hii msimu angepata namba pale Congo National Team? (wameita wachezaji wote wanao cheza Ulaya kasoro wachezaji 3)

Mchezaji gani kutoka Simba SC hii msimu angepata namba pale Burkinafaso? (wameita wachezaji wote wanao cheza Ulaya)

Mchezaji gani kutoka Simba SC hii msimu angepata namba pale Mali? (wameita wachezaji wote wanao cheza Ulaya)

Ukipata jawabu a maswali haya utajua kwanini Kanoute na Sako hawajaitwa kwenye timu zao za Taifa?
 
Mkuu demigod nimemwambia akaingie Leopardsfoot hiyo ndo officail page ya timu ya taifa ya congo aende akaangalie kikosi huko

Aliniambia hawezi kusoma kifaransa kwa hiyo hana uwezo wa kutambua uhalali wa orodha! Nikaona niachane nae tu.
 
Makolo kama wanaumwa tumbo la uzazi...wanahangaika na wananchi...
 
Aliniambia hawezi kusoma kifaransa kwa hiyo hana uwezo wa kutambua uhalali wa orodha! Nikaona niachane nae tu.
Kusoma Kifaransa wakati kwenye post huwa kuna option translation ya kile kilichopostiwa, basi aende huko nilikomuelekeza halafu aje alete marejesho hapa
 
 
Kusoma Kifaransa wakati kwenye post huwa kuna option translation ya kile kilichopostiwa, basi aende huko nilikomuelekeza halafu aje alete marejesho hapa
Elimu mzee Baba!
 
Au mkuu demigod kama vipi nenda now kule Instagram kwenye page yao rasmi ya Dr Congo national team inaitwa Leopardsfoot.

Umletee huyu Scars hizo screenshot hapa ili aone kama yeye ni Mbumbumbu sio kwa kuonewa ila ni kwa laana ya Ismail Aden Rage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…