Hawa wamezoea kudanganywa huko utopoloni nao wanayachukua maneno kama yalivyo bila kuyafanyia tathmini
Wameanza mbali, ooh sijui ukienda insta na fb kwenye pages za kikongo utaona.
Hawa inaonekana hata hawana ile tiny clue, timu ya taifa ya kongo ina account twitter ambayo ni official, hakuna page yeyote facebook wala instagram
Pili hata kwenye hiyo page ya tweeter ukiingia utaona post ya mwisho ilikua ni tarehe 1 mwezi wa 9,, hakuna update yeyote kuhusiana na habari za kikosi cha timu ya taifa kilichoitwa
Wameanza kujitupatupa kama kuku aliyekatwa shingo, mmoja kasema hizo data zipo kwenye website ya linafoot, mi nikaingia hapo, napo huko nimekuta post ya mwisho ina siku tatu, halafu nsyo hsizungumzii chochote kuhusiana na timu ya taifa
Haya wametoka hapo wamekuja na picha ambayo imetengenezwa kindezi sana, chini ya ile picha kulikua na site name ambalo lilionesha kua ndio source ya hiyo habari pichani.
Nako huko chenga hakuna kitu, sasa kwanini wasikubali tu kua tuli invent uzushi tulijua utakua easy deluded kama utopolo ila tusamehe tu, mi ningewaelewa