Yanga SC na GSM Wanasajili, Simba SC na Mo Dewji wanafanya Mzaha

We huoni Yanga imeimprove ukilinganisha na Simba? Hata ukiangalia takwimu utaona Yanga imefanya Sajili za maana ukilinganisha na Simba kaka.

Yanga pamoja na kuwa na mshambuliaji hatari lkn wameona waongeze nwingine ili kama itatokea majeraha kwa mmoja basi mmoja ataisaidia, hali hiyo iko kwenye kila namba kwa ile timu.
 
Ndio maana huna mnajibiwa hovyo,kwamba UTO amfundishe SIMBA LIPI na WAPI,bahati mbaya tu mbelemwikonyumamwiko hujisifu kwa vitu vidogovidogo ndio maana hata sasa kuna gap kubwa,wakati waliojipanga wapo DUBAI wazee wa bahasha wapo na mbuni fc,SIMBA NI KUBWA AFRIKA
 
Tupe takwimu za game 10 za mwisho mlivyokutana, tupe takwimu za misimu 10 nani amechukua makombe mengi.
 
hata ukiangalia takwimu kama ubanwa na mlango!SIMBA NDIO TIMU PEKEE KWA SASA YENYE SAFU KALI YA USHAMBULIAJI NA UZUIAJI,alafu usajili mdogo huwa ni kuongezea tu,wachezaji 3 wanatosha,
 
Umeandika pointi nzuri sana hapa, natamani warudie kukusoma mara 1000 ili wajue mambo ya usajili sio mepesi kama mihemko ya kuanzisha uzi JF.

Ukitaka kizuri toa pesa, uwe tayari kushindana na Al Ahly, Mamelodi, na waarabu wengine...
 
Naona unajifunza kuongea kupitia replying of my comments hivi unajiskia vizuri kweli unavyosound ni kama yangainajuasanasimbabadotunawafundishampira...Acha kujiaibisha bwege wewe!
 
Hizi ulizoandika hapa ni hisia tu...
 
Tupe takwimu za game 10 za mwisho mlivyokutana, tupe takwimu za misimu 10 nani amechukua makombe mengi.
achana makombe huko tutaishia hapa hapa,moja linakutosha,pamoja na kuwezeshwa na MANJI,ROSTAM,JK NA HATA sasa JIESIEM timu hii ya UTOPOLO HAIJAWAHI KUINGIA MAKUNDI KLABU BINGWA AFRIKA TOKA 1998
 
Mo hawezi kuitakia Simba ifanye vibaya kwasababu bado ni sehemu ya Simba hajajitoa kama mwekezaji wa Simba. Na kipindi hiki anajua ndio kipindi cha mavuno kama Simba watafanya vizuri klabu bingwa hivyo ni lazima ukaribu utaongezeka mara dufu ili avune ela za klabu bingwa
 
Wakati mnasajili kina Yikpe ilikuwa hujazaliwa
 
Kila jambo lina muda wake hao kina yikpe ndio wanaanza kuwarudia mchawi ni pesa tu kama auna utawasajili sana kina yikpe ndio kama kina sawadogo
Maana unasema nyie mlishaachana na sajilinza hovyo nilitaka nikukumbushe lini mlianza kusajili wachezaji wa hovyo maana mlianza muda mrefu na mpaka Sasa mnaendelea Kila msimu au umesahau kina chico ushindi na mchezaji wenu wa Newcastle
 
Maana unasema nyie mlishaachana na sajilinza hovyo nilitaka nikukumbushe lini mlianza kusajili wachezaji wa hovyo maana mlianza muda mrefu na mpaka Sasa mnaendelea Kila msimu au umesahau kina chico ushindi na mchezaji wenu wa Newcastle
Taja wachezaji waliosajiliwa kuanzia msimu ulioisha 2021-2022 na 2022-2023 orodhesha wachezaji wangapi wa yanga wamefanya vizuri na uorodheshe wa simba waliosajiliwa na wakafanya vizuri ili tupate takwimu sahihi ya nani alisajili vizuri na nani aliangukia pua
 
Viongozi wameshatugeuza mapopoma wapenzi wa Simba, hivyo wanajua hatuwafanyi chochote.
Tuendelee kusindikiza ligi hatuna namna
Tusikate tamaa, ligi bado MBICHI hii.
LAA taknatuu min rahmatilah.
 
Maoni ya kipuuzi kama haya ukute yanatoka Kwa Kiongozi wa Timu!
 
Yanga imeimprove na ni bingwa wa Tanzania lakini anacheza confederation Cup,Simba siyo Bingwa na haja improve lakini anacheza CL,si bora sasa kuto improve kama scenario yenyewe ndiyo hii.
 
Maoni ya kipuuzi kama haya ukute yanatoka Kwa Kiongozi wa Timu!
Weka akiba ya maneno,sio kila mtu anaibuka kutoka huko aliko na kuanza kudharau,hivi jiulize Kwa akili ya kawaida kwamba hakuna kiongozi WA Simba anayetaka Simba isifanikiwe?alafu Mambo ya usajili mtu WA mtaani Tu unatoka na kusema sio mchezaji nzuri hajui,sijui vitu vingi ambavyo ukimuuliza hawezi kujibu hao ndio WA kuchapa viboko na maneno makali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…