Bora umwambie huyo asiyejitambua,Shida moja Uto kumuotea otea Simba basi wanajiona timu Yao ni Kali,kumbe mashindano ya Afrika yamewaumbua.Yanga imeimprove na ni bingwa wa Tanzania lakini anacheza confederation Cup,Simba siyo Bingwa na haja improve lakini anacheza CL,si bora sasa kuto improve kama scenario yenyewe ndiyo hii.
Nilipigwa BAN ya Siku 14 kwa Kumuambia / Kumuita Mru Mpumbavu ( Popoma ), ila Nakupongeza Mwenzangu kwa Kuniita Chizi kutoka Mirembe na wala hujala BAN na huenda hata ukawa Umewafurahisha na hao hao Watoa BAN Kwangu.Kumekucha, chizi katoroka tena Mirembe
CHELSEA alishinda UEFA mbele ya TIMU BORA KABISA, BAYERN 2012 na MAN CITY MWAKA 2021.Yanga imeimprove na ni bingwa wa Tanzania lakini anacheza confederation Cup,Simba siyo Bingwa na haja improve lakini anacheza CL,si bora sasa kuto improve kama scenario yenyewe ndiyo hii.
Manzoki hawezi kuja SimbaVipi manzoki lobi ceaser ? Anakuja lini?
huyo wa congo nani? Kama ni makusu deal inaenda kufa, kama ni baleke ongezeni mzigoManzoki hawezi kuja Simba
Kuna mshambuliaji toka zenji na wengine toka congo
Unauliza makofi polisi?Kwahio tunashindana kusajiri wabovu eh!
usitake tu kulazisha ubora YANGA HAINA UBORA WOWOTE HAPA AFRIKA,na hiyo ndio ukweli,hapa tz inajulikana Yanga inashindajeCHELSEA alishinda UEFA mbele ya TIMU BORA KABISA, BAYERN 2012 na MAN CITY MWAKA 2021.
Hapo unataka kusema nini? Timu bora haifungwi? Kwako wewe kama ingekuwa Simba na Yanga wamepangwa wakutane mtoano ili mmoja aende makundi unahisi nani angepewa nafasi ya kusonga mbele?
Hata hivyo njia za kufikia makundi ni tofauti, huwezi sema huyu ameshindwa na huyu ameshinda kwa kulinganisha game 2, na wapinzani tofauti.
Mimi naomba tu kuchukua nafasi hii adimu, kukukaribisha rasmi jukwaani, na pia kukutakia Heri ya Mwaka Mpya , 2023!Kama kumbe kigezo cha kusajili Mchezaji siku hizi ni kwanza ajue kupiga kanzu, nawaombeni mje mnisajili na mimi GENTAMYCINE kwani pamoja na huu uzee (ukongwe) wangu wa miaka 60 sasa huku mitaani katika ligi zetu huwa napiga mno mikanzu kuliko hata Sewakubwa wenu.
Halafu tukisema kuwa Yanga SC na GSM yao wameshatoka katika upuuzi na wamejipanga kweli kimashindano na wanaenda kuwa Mabingwa tena wa NBC Premier League kwa Msimu huu wa 2022 / 2023 mnanitukana na kukimbilia kusema mimi GENTAMYCINE ni mwana Yanga SC na siyo mwana Simba SC.
Tukutane mwisho wa ligi kuisha, ok?
Mkuu embu tuambiae Yanga inashindajeusitake tu kulazisha ubora YANGA HAINA UBORA WOWOTE HAPA AFRIKA,na hiyo ndio ukweli,hapa tz inajulikana Yanga inashindaje
Jitahidi sasa huu mwaka upite bila ya kupigwa BAN. Mimi bro ako, nitajitahidi kukutetea kwa Mods. Muhimu tu kwako, utumie ile formula ya kwenye Biblia; ya mtu akikupiga shavu la kushoto, mgeuzie na lile la kulia.Nilipigwa BAN ya Siku 14 kwa Kumuambia / Kumuita Mru Mpumbavu ( Popoma ), ila Nakupongeza Mwenzangu kwa Kuniita Chizi kutoka Mirembe na wala hujala BAN na huenda hata ukawa Umewafurahisha na hao hao Watoa BAN Kwangu.
Na hapa wala hutoona Watu Wakijitokeza Kukulaumu au Kukuonya au hata Kukusema vibaya ila GENTAMYCINE nikikujibu tu kwa aina yangu utawana 'Visokolokwinyo' wa JamiiForums wanajitokeza Kunilaumu na muda mfupi tu BAN inanifuata.
Ngoja nijilazimishe kuwa Mvumilivu JF.
Hadi club African nayo utuambie walishindaje? Usisahau na Ile ngao ya jamii pamoja na kule kirumba tunaomba ufafanuzi Yanga ilishindaje hizo mechi.usitake tu kulazisha ubora YANGA HAINA UBORA WOWOTE HAPA AFRIKA,na hiyo ndio ukweli,hapa tz inajulikana Yanga inashindaje
We jamaa unaumwa nisikilize Mimi nakushauri Kitu kizuri nenda kapime akili serious.usitake tu kulazisha ubora YANGA HAINA UBORA WOWOTE HAPA AFRIKA,na hiyo ndio ukweli,hapa tz inajulikana Yanga inashindaje
kwa masifa yote unayojidanganya haya tuje kwenye uhalisia,UTO WAKO wapi na SIMBA IPO WAPI?Tuje kwenye maandalizi ya timu kwaajili ya mashindano ya kimataifa utaona tofauti!SIMBA HII KUBWAWe jamaa unaumwa nisikilize Mimi nakushauri Kitu kizuri nenda kapime akili serious.
Club Africa tumeifunga kwao hukuona? Simba tumewapiga mara elfu huoni unauliza swali la Mtoto mdogo wa chekechea Huku una midevu umejaa uvivu kwenda saluni!!
Young Africa ya Nabi inacheza possession football hiyo ndio Siri ya ushindi.
Uto ni timu ya kawaida tu takwimu ziko wazi. Hakuna timu ya maana ingetolewa na wale Al hilal.Kwenye group lenu la shirikisho uto ndio underdog huo ndio ukweli. Mnachojivunia hakipo maana ubingwa wa NBC sio ubingwa wa kukupa ukubwa barani Afrika.We jamaa unaumwa nisikilize Mimi nakushauri Kitu kizuri nenda kapime akili serious.
Club Africa tumeifunga kwao hukuona? Simba tumewapiga mara elfu huoni unauliza swali la Mtoto mdogo wa chekechea Huku una midevu umejaa uvivu kwenda saluni!!
Young Africa ya Nabi inacheza possession football hiyo ndio Siri ya ushindi.
Wewe ndio unitajie wa yanga nikuonyeshe magarasa kuanzia kina sarpong Hadi kina balinyaTaja wachezaji waliosajiliwa kuanzia msimu ulioisha 2021-2022 na 2022-2023 orodhesha wachezaji wangapi wa yanga wamefanya vizuri na uorodheshe wa simba waliosajiliwa na wakafanya vizuri ili tupate takwimu sahihi ya nani alisajili vizuri na nani aliangukia pua
Huo ubingwa wa Africa mnao?Uto ni timu ya kawaida tu takwimu ziko wazi. Hakuna timu ya maana ingetolewa na wale Al hilal.Kwenye group lenu la shirikisho uto ndio underdog huo ndio ukweli. Mnachojivunia hakipo maana ubingwa wa NBC sio ubingwa wa kukupa ukubwa barani Afrika.
Morocco alieishia nusu final WC na Senegal bingwa wa AFcon yupi yupo juu hapo kimafanikio kisoka ?Huo ubingwa wa Africa mnao?
Unaongea nini wewe?!tofauti na yanga wanaojitafuta kwenye sajili zao hazina dau kubwa la kuumiza benki yao