Yanga SC na GSM Wanasajili, Simba SC na Mo Dewji wanafanya Mzaha

Sajili zipi????hizo za maana unazosema?

Gaely Bigirimana?
Kambole?
Ambundo?
Morrison?
Yusuph Athuman?
Kisinda?
Ki?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lete takwimu.....

Kuwa serious basi mkuu?
 
Morocco alieishia nusu final WC na Senegal bingwa wa AFcon yupi yupo juu hapo kimafanikio kisoka ?
Huna unalo elewa labda umri au thinking capacity yako ni ndogo unalinganisha timu yenye trophy na iliyosogea kwenye tournament!
 
Nimesoma post yako nimesikitika sana. Unajisifia utajiri wa timu kwa kudai Rais Mstaafu bado ana nguvu ya kisiasa halafu mnasema mnaendeshwa kisasa?

Thamani ya timu inapimwa na mali, kiasi cha uwekezaji na mikataba ambayo timu inayo na siyo madai ya kuwa mwanasiasa fulani ni mwanachama wenu.

Kwa mentality hii ndiyo mnataka mjilinganishe na Simba?
 
Huna unalo elewa labda umri au thinking capacity yako ni ndogo unalinganisha timu yenye trophy na iliyosogea kwenye tournament!
Kwa hiyo trophy ya mapinduzi ni bora kuliko kushika nafasi ya nne ligi kuu NBC? Sio kila trophy ni bora kuliko kuishia hatua Fulani ya mashindano makubwa. Hakuna timu pale EPL itaweka kipaumbele Kuchukua Carabao cup kuliko kuingia top four. Nafasi ya nne world cup anamzidi kila Kitu kuanzia zawadi huyo bingwa wa AFcon. Kilaza umeelewa au niendelee kukupa somo?
 
Tangu ulivoletaga habari za kutambua nia ya kumsajili Dejan kabla ya mtu yeyote sikubishiagi tena. Ni kweli kwa rekodi ya huyu mchezaji nahisi tumepigwa tena, 2017 RC De Kadiogo, 2018 hakuwa timu,2019 hakuwa na timu, 1/08/2019 Al Arabi Kuwait,01/01/20 hakuwa nan timu,18/11/20 Enippi na 14/11/21 kote huko haijwahi kujulikana alikuwa anauzwa ama kununuliwa kwa kiasi gani.
 
Uko sahihi popoma[emoji106]

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Sijapinga hata kidogo usajili wa Sawadogo. Lakini Mimi si muumini wa lugha chafu uliyotumia. Mtu akitoa maoni yake unaona ugumu gani kumjibu Kwa lugha sahihi badala ya kashfa?
 
Uto ni timu ya kawaida tu takwimu ziko wazi. Hakuna timu ya maana ingetolewa na wale Al hilal.Kwenye group lenu la shirikisho uto ndio underdog huo ndio ukweli. Mnachojivunia hakipo maana ubingwa wa NBC sio ubingwa wa kukupa ukubwa barani Afrika.
Haya makombe ya bongo tumewapoka yanawauma sana mikia! Hivi tuseme ukweli Nani hakuona Al Hilal walijiangusha kwa dakika 90 Yanga hatukuweza kucheza boli. Ile mechi ingekuwa ni Qatar world cup Kila kipindi zingeongezwa dakika 30. Unawezaje kumfunga mtu ambae hataki mcheze?

We jamaa hujitambui!
Ukweli uko wazi Kila mtu anaona this is the time of rise of Yanga and fall of Simba! Simba ni paka tu for now! Endeleeni kuwaza Yanga ni underdog ila mtatukuta kuleee tushafika!!
 
Kwamba walijiangusha, hakika utopolo ni utopolo.
 
Sijasoma sana gazeti lako ila tafuta wajinga wenzako kwenye vijiwe vya gahawa uwadanganye
 
Tahira huyo akadanganywe hoya hoya wenzake kwenye gahawa
 
Sijapinga hata kidogo usajili wa Sawadogo. Lakini Mimi si muumini wa lugha chafu uliyotumia. Mtu akitoa maoni yake unaona ugumu gani kumjibu Kwa lugha sahihi badala ya kashfa?
hiyo stahiki ya watu wasiofikiri,na kwa kugombezwa huwasaidia kuchangamsha bongo zilizolala ya kwako,fikiri mara nne hujaandika na hiyo ndiyo kanuni
 
Sijasoma sana gazeti lako ila tafuta wajinga wenzako kwenye vijiwe vya gahawa uwadanganye
Sasa hujasoma umejuaje kama ni uongo?

Kusema hujasoma tafsiri yake ni kwamba hujapenda ambacho umekisoma. Lakini ukweli ndo huo. Ndo maana hata Manara wa Yanga ni tofauti sana na Manara wa Simba. Manara wa Yanga anaendesha gari kama za Ikulu. Manara wa Simba alikuwa anaendesha gari za mitumba.

Ni ukweli ambao huhitaji kuhangaika saaaana kuuona.
 
Wewe endelea kubaki na maarifa ya vitabuni. Tuko Tanzania, hatuko kwenye nchi ambazo hisa zinauzika. We kanunue hisa DSE halafu jaribu kuziuza ndo utajua kwamba maarifa ya vitabuni kuhusu utajiri wa taasisi kwa hapa Bongo yana mipaka yake.
 
Nah,unajaribu kuzunguka penye hapahitaji kutoa majibu yenye maneno mengi.Umesema Yanga ime improve vs Simba,na mimi nakuuliza kama ku improve ndiyo huko kwa Yanga Vs Simba kipi ni bora hapo? Improve uwe Bingwa uishie kucheza CC or usi improve na siyo bingwa na ucheze CL?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…