Yanga wapo serious na utani na simba kuliko simba 🤔Nafikiri ni utani tu. Kama hakuna taratibu waliyokiuka basi tuenjoy tu mpira na utani wake.
Hadi Sportpesa ni stikaHiyo stika inatoka
Ndio nature ya timu ndogoYanga wapo serious na utani na simba kuliko simba 🤔
Pole Kwa maumivuNdio nature ya timu ndogo
Huyo ni kolo bin mbumbumbu.Kosa liko wapi au wewe ni shabiki wa Simba
Naona lengo la hiyo lebo imefanikiwa Kwa wewe kukereka
Kabisa , halafu washabiki wake utulivu hawana kabisaNdio nature ya timu ndogo
Bora utani huu kuliko ule wa Zamalek vs Al Ahly, Zamalek vs Al Masry, Boca Juniors vs River Plate.Yanga wapo serious na utani na simba kuliko simba 🤔
Hamna ubaya wowote ni wivu tu umewajaaKwani ubaya wake upo wapi mbumbumbu?