Yanga wana utoto sana kwenye jezi zao

Yanga wana utoto sana kwenye jezi zao

Jezi nzuri ni ipi mazee mambo ya Utani wa jadi huo kwa washabiki wa Mpira sema sasa hivi mpira umevamia na waliokimbia mpira wameuvamia uzeeni wao kila kitu wanakosoa..
 
Jezi nzuri ni ipi mazee mambo ya Utani wa jadi huo kwa washabiki wa Mpira sema sasa hivi mpira umevamia na waliokimbia mpira wameuvamia uzeeni wao kila kitu wanakosoa..
Shida sio utani wa jadi.kuna mambo hayafai kwenye Jezi ya mpira.
Moja wapo ni hayo.hakukuwa na haja kuandika vijembe.
 
Bado naendelea kujiridhisha na haya mawazo yangu niisomapo ID yako
Ebu tulia akili kijana naamini wewe ni mtu wa mpira.niambie Kuna timu gani duniani ambayo inatoka Jezi zake na kuandika vijembe na mipasho?kama sio utopolo pekee.?wewe umeona wapi ?
 
Utani kwa Ali kamee sija uprnda aisee

Fullstop, kwishaaa
 
Attachments

  • Screenshot_20250824-193234.png
    Screenshot_20250824-193234.png
    772 KB · Views: 23
Kwanini kila kitu mpaka aanzishe mwingine..?? Huwezi kuwa wa kwanza na wengine wakaiga?
Sasa andika kitu cha maana.sio huo ujinga na utoto.
Haya turudi kwenye tukio lenyewe ambalo lilishapita na kupatikana utatuzi wake na likaisha.nani chanzoncha kughairishwa mechi kati ya simba au yanga?maa sasa mnataka turudi Tena kwenye mgogoro ule ule wa tarehe 8
 
Huo mjadala utakusaidia kurudisha zile goli mbili..!!??? Nyie mlisepa bhaaasiii...!!!
 
Back
Top Bottom