Yanga wana utoto sana kwenye jezi zao

Yanga wana utoto sana kwenye jezi zao

Attachments

  • FB_IMG_1756060731432.jpg
    FB_IMG_1756060731432.jpg
    39.8 KB · Views: 26
Na hizi za mbunifu kutoka italia unazionaje👇🤣🤣🤣🤣
Hizo jezi sio mbaya japo hakuna uthibitisho wenye uhakika kuwa ndio jezi halisi zinazoenda kuzinduliwa.

Isije ikawa ni jezi kwa ajili ya safari na wamefanya kuzivujisha ili ku catch attention ya haters.

Kumbuka Jayruty anatengeneza jezi kwenye kila special event.

Unaweza kuambiwa hiyo ni ya kulalia tu ukabaki unashangaa.
 
Yaan kabisa tunajadili jezi. Huu mjadala naonaga wa wajinga flani hivi wasio na akili timamu
 
Shida sio utani wa jadi.kuna mambo hayafai kwenye Jezi ya mpira.
Moja wapo ni hayo.hakukuwa na haja kuandika vijembe.
Yanga na Simba waatakiwa wafanye kile wanaona kinafaa ili mradi wasivunje sheria za mpira wa miguu tu na kanuni zake hizo mambo za wewe kutaka au wasitake ungezipotezea tu mazee..
 
Back
Top Bottom