mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,756
- 6,294
Watoto wa CCM hawa, uwaga hawanaga akili kama wadhamini woo chama tawalaJezi mpya ya ugenini ya Yanga iliyozinduliwa leo imeandikwa “Walisepa 08.03.2025”
Huu ni utoto wa hali ya juu. Wameweka makusudi ili kuwavutia mashabiki wao wanunue jezi hizo ambazo kimsingi sio jezi nzuri.View attachment 3451448