Yanga wana utoto sana kwenye jezi zao

Yanga wana utoto sana kwenye jezi zao

View attachment 3451659View attachment 3451660
IMG-20250824-WA0006.jpg
 
Real Madrid nao wana utoto sana kwenye jezi zao maana wamefanya kama hivi
 
Jezi mpya ya ugenini ya Yanga iliyozinduliwa leo imeandikwa “Walisepa 08.03.2025”

Huu ni utoto wa hali ya juu. Wameweka makusudi ili kuwavutia mashabiki wao wanunue jezi hizo ambazo kimsingi sio jezi nzuri.View attachment 3451448
Klabu inayoongozwa na kina Mzee Mpili na wale makomandoo haiwezi kuwa na akili timamu.
 
Jezi zimesanifiwa kwa haiba ya kutisha mahasimu na zimemili katika dhima ya ubabe wa kipekee kwenye medani ya soka la bongo, anyway navaa size large, oda yangu: nyeusi mbili (2), njano mbili (2) na kijani (1) = 5

#Young African SC
 
Back
Top Bottom