Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kwa uwezo wa sasa lolote linawezekana.Mimi nahisi yanga itafika nusu fainali msimu huu.
Hivyo mafanikio yatakuwa makubwa kuliko mwaka jana.
Na nahisi mamelodi tutapangwa nae kundi moja. Kwenye hatua ya makundi
Kubahatisha huenda si neno sahihi, labda tuseme timu ambayo imechukua mara moja haikuwahi kufika hata nusu fainali tena na muda umepita.Uzoefu ni factor kubwa. Ndio maana hata kwenye ajira wanasema tunataka mwenye uzoefu. Yanga bado hana uzoefu.
Je ni Timu gani imewai kuchukua kombe la Caf champions league kwa kubahatisha ?
Kwanza lazima uelewe kwenye makundi malengo ni kwenda robo na Yanga ilikwenda robo.Mamelodi mwenyewe uliyemtolea mfano wako huwa havuki nusu fainali
Mamelodi sio kipimo cha kucheza fainali. Maana hata mamelodi huwa anatolewa tu nusu fainali ama robo fainali.
Caf champions league inachezwa kimkakati sana. Ndio maana fainali huwa zinafika timu zile zile mara kwa mara.
Kwenye hatua ya makundi Pacome alicheza mechi zote 6.
Ila bado yanga haikushinda mechi zote.
Ilishinda mechi 2 tu katika mechi 6 za makundi.
Huo ni ushahidi wa wazi kwamba hata acheze nani. Kutwaa ubingwa sio rahisi
Hamjiamini kabisa yaani, baada ya mwezi wa tisa tutaelewana na ndipo mtakapoanza mara Mangungu, mara bil 20,mtahamia kwa wachezaji na kuhisi mmepigwa. Mmepata kitonga kucheza na timu ambazo key player wake hawana vibali mkajiona mna timu, tulieni tu tutaelewana.Mkakati wao wa kushinda mechi ya leo ulianzia airport jana, sisi tunaojua fitna za nje tuliona, hakuna aliyeona hii, mganga wao aliwaambia mechi vs Kagera ni ngumu cha kufanya pale airport kila mtu atoke kwake kivyake mkutane pale, msipande basi la pamoja, mitego inaanzia airport, ndo maana kila mchezaji jana kaenda kivyake, aziz alienda na gari yake, Dube na kuna walioenda na bodaboda.
Msimu uliopita walidroo kaitaba na walijua walikosea wapi, msimu huu wamewaua, Kaitaba kugumu sana kwa Yanga na Simba, hasa Simba pale labda msimu huu, leo kagera wameupiga mwingi sana lkn wanacheza na timu ambayo nje wamejipanga haswaaa.
Rais wao anahakikisha mkoani hawaachi point, wanajua mkoani ndio kwenye ubingwa, Simba tuangalie hili.
Rais wao anaenda mkoani kila mechi kuwaunga mkono, labda awe na ziara nje ya nchi.
Hii timu hapa kwetu sijui, wanaangalia na wameshajiandaa kubeba ndoo ya Afrika na wanaweza.Hatari sana hawa jamaa.
Ujitaja timu nne bora za Africa kwa sasa Mamelod huwezi kumtoa na vile kwenye club zenye uwezo wa kuchukua hili kombe lazima umweke kwenye nafasi tatu za juuu.Mamelodi mwenyewe uliyemtolea mfano wako huwa havuki nusu fainali
Mamelodi sio kipimo cha kucheza fainali. Maana hata mamelodi huwa anatolewa tu nusu fainali ama robo fainali.
Caf champions league inachezwa kimkakati sana. Ndio maana fainali huwa zinafika timu zile zile mara kwa mara.
Kwenye hatua ya makundi Pacome alicheza mechi zote 6.
Ila bado yanga haikushinda mechi zote.
Ilishinda mechi 2 tu katika mechi 6 za makundi.
Huo ni ushahidi wa wazi kwamba hata acheze nani. Kutwaa ubingwa sio rahisi
Ujitaja timu nne bora za Africa kwa sasa Mamelod huwezi kumtoa na vile kwenye club zenye uwezo wa kuchukua hili kombe lazima umweke kwenye nafasi tatu za juuu.
Mamelodi ni kipimo tosha labda kama unaleta ubishi, ktk miaka mitano ya hivi karibuni ukimtoa Al Ahly kwa ubora anayefuatia Mamelod, hata waarabu wenyewe hawapendi kukutana nae.
Kufungwa haimaanishi kuwa ww sio bora,unaweza ukafungwa na ubora wako.Mbona huweki rekodi za nusu na AFL........ na rudia tena ktk club nne Mamelod hawezi kosa kwa Africa hiii. Huwezi niambia eti Mamelod sio kipimo sahihi,mimi na kataa hata sasa tukifanya Analysis ktk timu tatu zenye nafasi kubwa ya kuchukua ubingwa MAMELOD yupo.Esperence tu ikiwa ya bajeti ndogo haipo kwenye makali yake, ila imemfunga mamelodi nje ndani kwenye nusu fainali iliyopita. Unaanzia wapi kusema esperence anamuogopa mamelodi.
Mamelodi ana ubora gani kuzidi hao waarabu niliowataja, Nakuwekea list za bingwa wa ligi ya mabingwa Africa na mshindi wa pili kwa misimu zaidi ya mitano iliyopita.
Kama mamelodi ni mkali anaogopwa na niliowataja nioneshe makali yake.
Msimu wa mwaka 2024. Bingwa Al ahly na mshindi wa pili esperence
Msimu wa mwaka 2023 bingwa Al ahly na mshindi wa pili waydad casablanca
Msimu wa mwaka 2022 bingwa Waydad casablanca na mshindi wa pili Al ahly.
Msimu wa mwaka 2021 bingwa Al ahly na mshindi wa pili waydad
Msimu wa mwaka 2020 bingwa Al Ahly na mshindi wa pili waydad
Msimu wa mwaka 2019 bingwa Esperence na mshindi wa pili waydad
Msimu wa mwaka 2018 bingwa Esperence na mshindi wa pili waydad
Mshindi wa mwaka 2017 bingwa Waydad na mshindi wa pili Esperence
Kufungwa haimaanishi kuwa ww sio bora,unaweza ukafungwa na ubora wako.Mbona huweki rekodi za nusu na AFL........ na rudia tena ktk club nne Mamelod hawezi kosa kwa Africa hiii. Huwezi niambia eti Mamelod sio kipimo sahihi,mimi na kataa hata sasa tukifanya Analysis ktk timu tatu zenye nafasi kubwa ya kuchukua ubingwa MAMELOD yupo.
Bonanza.....kumbe unaleta ushabiki yaani AFL lile bonanza?.Kweli sio sawa na Championship ,ila club zilisho shiriki zilikuwa nying zilikuwa bora.AFL ni bonanza linaloshirikisha timu 8 tu.
We umewai kuona wapi mashindano serious yanaanzia robo fainali ? Yaani mtu unaalikwa tu na kuambiwa umeshafika robo fainali. Huo si upuuzi
AFL sio sawa na ligi ya mabingwa africa inayoshirikisha timu 64. Ambazo ni mabingwa wa ligi za nchi zao. Na washindi wa pili.
AFL ni bonanza la majaribio tena lililofeli ndio maana limeshafutwa na CAF.
AFL ingekuwa sio bonanza liliofeli lingeendelea kuwepo na hata msimu huu ingekuwepo.
Kanuni za CAF zinapendelea sana timu zenye points nyingi. Ndio maana Azam anastruggle na Yanga alistruggle.Mamelodi mwenyewe uliyemtolea mfano wako huwa havuki nusu fainali
Mamelodi sio kipimo cha kucheza fainali. Maana hata mamelodi huwa anatolewa tu nusu fainali ama robo fainali.
Caf champions league inachezwa kimkakati sana. Ndio maana fainali huwa zinafika timu zile zile mara kwa mara.
Kwenye hatua ya makundi Pacome alicheza mechi zote 6.
Ila bado yanga haikushinda mechi zote.
Ilishinda mechi 2 tu katika mechi 6 za makundi.
Huo ni ushahidi wa wazi kwamba hata acheze nani. Kutwaa ubingwa sio rahisi
Kwa kanuni za CAF kukutana na Mamelodi tena inawezekana kabisa. Hata preliminary unawaona mwaak jana Pyramids walikutana na APR, BAADA YA mwaka huu tena APR kamtoa AZAM na anakutana tena na PYRAMIDSMimi nahisi yanga itafika nusu fainali msimu huu.
Hivyo mafanikio yatakuwa makubwa kuliko mwaka jana.
Na nahisi mamelodi tutapangwa nae kundi moja. Kwenye hatua ya makundi
Bonanza.....kumbe unaleta ushabiki yaani AFL lile bonanza?.Kweli sio sawa na Championship ,ila club zilisho shiriki zilikuwa nying zilikuwa bora.
Mimi ninacho kukatalia kusema Mamelod sio kipimo, yaani na kuona una bishi wa kishabiki, CAF wenyewe wakizirank timu bora kwa miaka mitano iliyopita Mamelod hakosi kwenye tatu bora,halafu unakuja kusema sio kipimo tosha....... ila kama unataka kubishana sawa.
Kwa hiyo kufutwa ndio kunalifanya kuwa bonanza? Kwani wachezaji wa zile timu walizo shiriki AFL na walio shiriki CAF championship walikuwa na tofauti gani?au kule AFL walicheza makinda ila huku kwenye Championship walicheza masenior wanao anza kwenye first eleven.Kama AFL sio bonanza, mbona limefutwa haraka haraka ?
Kwa hiyo kufutwa ndio kunalifanya kuwa bonanza? Kwani wachezaji wa zile timu walizo shiriki AFL na walio shiriki CAF championship walikuwa na tofauti gani?au kule AFL walicheza makinda ila huku kwenye Championship walicheza masenior wanao anza kwenye first eleven.
Sasa kwa nini unakataa Mamelod sio kipimo bora au Mamelod yupo nafasi ya ngapi kwenye rank za CAF?Ndio timu zilikuwa tofauti. Timu zisizo na ubora zilikuwepo AFL sababu ni bonanza mfano hai ni enyimba.
ENYIMBA ulimuona wapi caf champions league ?
Kwenye ranking za ubora unazozisema, enyimba inashika namba ngapi ?
Wewe jamaa unaamini sana uchawi.Mkakati wao wa kushinda mechi ya leo ulianzia airport jana, sisi tunaojua fitna za nje tuliona, hakuna aliyeona hii, mganga wao aliwaambia mechi vs Kagera ni ngumu cha kufanya pale airport kila mtu atoke kwake kivyake mkutane pale, msipande basi la pamoja, mitego inaanzia airport, ndo maana kila mchezaji jana kaenda kivyake, aziz alienda na gari yake, Dube na kuna walioenda na bodaboda.
Msimu uliopita walidroo kaitaba na walijua walikosea wapi, msimu huu wamewaua, Kaitaba kugumu sana kwa Yanga na Simba, hasa Simba pale labda msimu huu, leo kagera wameupiga mwingi sana lkn wanacheza na timu ambayo nje wamejipanga haswaaa.
Rais wao anahakikisha mkoani hawaachi point, wanajua mkoani ndio kwenye ubingwa, Simba tuangalie hili.
Rais wao anaenda mkoani kila mechi kuwaunga mkono, labda awe na ziara nje ya nchi.
Hii timu hapa kwetu sijui, wanaangalia na wameshajiandaa kubeba ndoo ya Afrika na wanaweza.Hatari sana hawa jamaa.
Sawa anaenda kubeba,wacha tuone.Mbumbumbu fc endelea kuhisi ila raisi wa yanga kasema anaenda kulibeba Hilo kombe wewe endelea kuhisi umechanganyikiwa na kichapo Cha Gori 5 mpaka unahisi his hovyo mpira hauna habari za kuhisi
Taja first eleven za wachezaji na marefa wa hizo mechi kama unazijuaSawa anaenda kubeba,wacha tuone.
Nishakufunga Goli 5 bila umesahau na bado hujalipa recodi ya bao 6 nilizokufunga pia