Yanga wanacheza kwa papara, jazba na kukamia, hawajui mpira

Mimi ni Simba japo tunamapungufu yetu,mengi Sana Ila hizi mechi angalau tunazimudu,nimeangalia mechi za yanga usema ukweli wanatumia nguvu nyingi Sana alafu last product ni bure,wapunguze kutumia nguvu nyingi watumie akili kushinda mechi zao,watu watamkumbuka mashindi na sio kumiliki mpira,nategemea kuwaona kesho wakikimbia na mpira Sana wasijue wanachoenda kufanya mwishoni
 
Jamaa kaandika uhalisia sana. Jamaa wanacheza pirra riadha, pirra judo ambalo halina ufundi bali limejaaa nguvu nyiiiiiingi na akili kidogo. Sometimes wanapata ushindi kwa Huo Ubushman wao maana wanaogopesha timu pinzani kwa michezo hatarishi. All in all jamaa wanatumia nguvu nyingi kuliko akili na hilo hawataki kuelewa
 
Hivi namna hii hawajui mpira matokeo yalikuwa vile tarehe 5 November sasa wangekuwa wanajua mpira ingekuwa ngapi hivi
 
FUNGA DOMO HILO HUJUI CHOCHOTE WEWE...yaani yanga icheze kwa kuvizia vizia wakati mpira wananujua...timu yako ingecheza na boluizdad na al ahly isingeambulia hata point moja mpk sasa,ila yanga kwa jwaneng na asec si ajabu wangekuwa na 6 au 4,wanaojua boli tu ndo wanaolijua hilo sio wewe kilaza
 
Sawa lakini walikupiga 5
 
Yanga weshafikia malengo yao ya kufikia hatua ya makundi msimu huu! Ndio kusema hata hiyo point moja waliyonayo tayari ni zaidi ya malengo yao.

Simba nao wapambane na malengo yao kufikia Nusu fainali msimu huu!
 
Yanga na man city ni sawasawa tu
Sema kuna marekebisho madogo tu ya kumpata halaand pale mbele tu basi
Kama bado tungekuwa na halaand mayele
Ungekuta tunaongoza kwa sasa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Yanga ushamba ndiyo asili yao wala hawajaanza leo. Hata ushangiliaji wao utagundua tu kwamba hiki ni kikundi fulani hivi cha washamba toka Sangamwarugesha.
 

Mzee mbona kama umetoroka milembe🤪,,huyo al ahly si tumecheza nae mwez wa 10 mbon hakushnda gem hata moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…