Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Sasa kama mpaka simba mnanunuliwa na Yanga, si mngempa tu timu Mzee Kilomoni!!Hizo tano za kununuliwa aisee sina kuchanganya..sasa timu inayofunga tano kihalala inakuwaje inapigwa tatu bila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama mpaka simba mnanunuliwa na Yanga, si mngempa tu timu Mzee Kilomoni!!Hizo tano za kununuliwa aisee sina kuchanganya..sasa timu inayofunga tano kihalala inakuwaje inapigwa tatu bila
Bosi uko sahihi sema ndo hivyo ukwel mchungu watakupinga tu. Yanga bado sanaHawajamaa wanafikiri kukimbia kama kama mbung'o uwanja ndio ubora wa timu..kesho utaona kitachotokea
FUNGA DOMO HILO HUJUI CHOCHOTE WEWE...yaani yanga icheze kwa kuvizia vizia wakati mpira wananujua...timu yako ingecheza na boluizdad na al ahly isingeambulia hata point moja mpk sasa,ila yanga kwa jwaneng na asec si ajabu wangekuwa na 6 au 4,wanaojua boli tu ndo wanaolijua hilo sio wewe kilazaHapo vipi?
Kuna jambo nimejifunza sana kwenye hii michuano ya club bingwa.
Kwanza uelewe hizi timu zinazocheza ni bora sana, hilo ni la kwanza kabisa.
Hivyo wanapokuja katika michuano hii hawachezi kwa lengo la kumiliki mpira na kushambulia ila wanacheza technically (mpira wa akili na wamaarifa za hali ya juu).
Yanga naona amekuja kama mshamba fulani katika michuano hii. Mfano wake mrahisi ni sawa sawa na mtu aliyetoka porini au kijiji akafika mjini akaanza kufanya mambo ambaya yanautambulisha ushamba wake. Yaani kuwaona watu wa mji ule hawajui hizo swaga zake, kumbe zilishapitwa na wakati.
Hivyo hizi timu bora na zenyeuzoefu na michuano hii zinatumia ushamba wa Yanga kucheza technically na kuondoka na point kilaini. Kwa hiyo ulemmchezo wa yanga ni mpira inayochezwa na timu inayoitwa siamini kushiriki mashindano haya.
Yanga inaweza kufungwa karibia mechi zote katika league hii, hata kesho kuna magoli yasiopungua 2 au matatu.
Angalia hata Ally Ahly alivyocheza na Yanga, hana pressure wala haraka.
Ulipigwa tatu bila na Raja Casablanca balazani kwako Hilo hukumbuki shehe.Hizo tano za kununuliwa aisee sina kuchanganya..sasa timu inayofunga tano kihalala inakuwaje inapigwa tatu bila
Sawa lakini walikupiga 5Jamaa kaandika uhalisia sana. Jamaa wanacheza pirra riadha, pirra judo ambalo halina ufundi bali limejaaa nguvu nyiiiiiingi na akili kidogo. Sometimes wanapata ushindi kwa Huo Ubushman wao maana wanaogopesha timu pinzani kwa michezo hatarishi. All in all jamaa wanatumia nguvu nyingi kuliko akili na hilo hawataki kuelewa
Yanga weshafikia malengo yao ya kufikia hatua ya makundi msimu huu! Ndio kusema hata hiyo point moja waliyonayo tayari ni zaidi ya malengo yao.Hapo vipi?
Kuna jambo nimejifunza sana kwenye hii michuano ya club bingwa.
Kwanza uelewe hizi timu zinazocheza ni bora sana, hilo ni la kwanza kabisa.
Hivyo wanapokuja katika michuano hii hawachezi kwa lengo la kumiliki mpira na kushambulia ila wanacheza technically (mpira wa akili na wamaarifa za hali ya juu).
Yanga naona amekuja kama mshamba fulani katika michuano hii. Mfano wake mrahisi ni sawa sawa na mtu aliyetoka porini au kijiji akafika mjini akaanza kufanya mambo ambaya yanautambulisha ushamba wake. Yaani kuwaona watu wa mji ule hawajui hizo swaga zake, kumbe zilishapitwa na wakati.
Hivyo hizi timu bora na zenyeuzoefu na michuano hii zinatumia ushamba wa Yanga kucheza technically na kuondoka na point kilaini. Kwa hiyo ulemmchezo wa yanga ni mpira inayochezwa na timu inayoitwa siamini kushiriki mashindano haya.
Yanga inaweza kufungwa karibia mechi zote katika league hii, hata kesho kuna magoli yasiopungua 2 au matatu.
Angalia hata Ally Ahly alivyocheza na Yanga, hana pressure wala haraka.
🤣🤣Kwa papara wanazocheza unaona kabisa wanataka kumaliza mechi zote za group stage siku hiyo hiyo wavuke robo, kumbe ni ratiba ya miezi.
Wakicheza utadhani chandimu " oya mwanangu piga mbele nitoke nduki " wote mbio
Sent using Jamii Forums mobile app
FUNGA DOMO HILO HUJUI CHOCHOTE WEWE...yaani yanga icheze kwa kuvizia vizia wakati mpira wananujua...timu yako ingecheza na boluizdad na al ahly isingeambulia hata point moja mpk sasa,ila yanga kwa jwaneng na asec si ajabu wangekuwa na 6 au 4,wanaojua boli tu ndo wanaolijua hilo sio wewe kilaza
Mzee mbona kama umetoroka milembe🤪,,huyo al ahly si tumecheza nae mwez wa 10 mbon hakushnda gem hata mojaFUNGA DOMO HILO HUJUI CHOCHOTE WEWE...yaani yanga icheze kwa kuvizia vizia wakati mpira wananujua...timu yako ingecheza na boluizdad na al ahly isingeambulia hata point moja mpk sasa,ila yanga kwa jwaneng na asec si ajabu wangekuwa na 6 au 4,wanaojua boli tu ndo wanaolijua hilo sio wewe kilaza