mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Wewe ni joti tumekushtukia unachekesha
Hakika hawaezi rudia hii kitu Daima.
Walichokifanya ni upuuzi.Binafsi sio shabiki wa simba wala yanga lakini yanga wameonesha msimamo thabiti hili ni funzo kwa TFF kwamba sheria zilizowekwa zizingatiwe ni aibu sana kuona mechi ilipangwa mda mrefu alafu leo wanasema excuse sijui iddi kwani idd imeanza leo???ifike hatua sheria ziheshimiwe ndo maana mpira wa tanzania hauendelei
Wewe nadhani ni ibilisiSafi sana,sheria zifuatwe.
Itachukua muda kuheshimu sheria mbalimbali zilizowekwa maana yule shujaa alivuruga taratibu zote na sheria.
Kikubwa wawe wanagomea na mechi nyingine kama za Biashara na Azam sio ya Simba tu.Binafsi sio shabiki wa simba wala yanga lakini yanga wameonesha msimamo thabiti hili ni funzo kwa TFF kwamba sheria zilizowekwa zizingatiwe ni aibu sana kuona mechi ilipangwa mda mrefu alafu leo wanasema excuse sijui iddi kwani idd imeanza leo???ifike hatua sheria ziheshimiwe ndo maana mpira wa tanzania hauendelei
Mechi ya yanga na azam ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa mbili na taarifa ilitolewa saa 6 mchana, mechi ya yanga na biashara ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa 1 usiku na taarifa ilitolewa saa 8 mchana mbona yanga hawakugomaUmeona eee! Tatizo lililopo sasa nyie si ajabu mukafuata huo muda wa tiefuefu.
Mimi ni mumeo usisahau hiloSister wewe ni mwenyeji wa nyegezi au chattle
Mlitukimbia hapa Nyinyi na TFF lenu moja wahuni nyinyi
Tuungeni mkono sisi ni watu wa haki Simba ni majizi tu,Mimi ni shabiki wa Simba lialia mpaka kamasi lakini kwa hili Yanga nawaunga mkono 100%.