😆😅😄😃😂😁😀Hii si amri ya TFF ni wizara ya habari na michezo. Kuna siasa zinapenya hapa na hazikutumika busara. Kama kuna mtu inabidi awepo kwa maamuzi ya ghafla si wangeongea na timu zote tu. TFF wametii mamlaka kwa mujibu wa barua yao kujivua lawama.
Yanga msiache fursa hii ni escape route ya kibabe hii mpaka mjipange mwakani( Natania) Ila Yanga wako right.Yanga ingieni uwanjani saa 11, Kisha msubili kwa muda wa dk 30 Kisha ondokeni uwanjani, ili wajinga wajinga wakome.
Uwezo wako wa kufikiria umejawa na mahaba ya timu. Basi hao utopolo waliopanga mechi saa moja ndio wamesema wataingiza timu saa kumi na moja haya basi na timu ya Simba iingize timu muda huo huo ili kuwakomoa hao utopolo ili mechi ichezweHizi ni njama za utopolo. Utopolo wako nyuma ya maamuzi ya kusogeza mechi mbele. Halafu wapate kisingizio cha kugomea mechi. Nashauri Simba waingize timu saa 11 pia, ili utopolo wakose mahali pa kutorokea! Goli 4-0 zinawahusu tu!
Yanga wamesema wataingiza timu saa11 sasa sijui unawalaumu kwa lipiHizi ni njama za utopolo. Utopolo wako nyuma ya maamuzi ya kusogeza mechi mbele. Halafu wapate kisingizio cha kugomea mechi. Nashauri Simba waingize timu saa 11 pia, ili utopolo wakose mahali pa kutorokea! Goli 4-0 zinawahusu tu!
kwa sababu mashabiki ndo mnaoingia kucheza au sioKwanini Yanga ndio wanalalamika na sio Simba?
I think mashabiki ndio tungetoa malalamiko na sio timu
Kweli ajiuzuruDkt Hassan Abbas Jiuzuru Tu Haya Makubwa
Kumbuka muda wa mwisho kuingia uwanjani iliwekwa saa kumi jioni.kwa sababu mashabiki ndo mnaoingia kucheza au sio
Unaongea pumba tupu, mbona game kibao tu za ligi ndala wamecheza huo mda wa saa 1Tff wanawahujumu yanga,
Kwanini wawapangie mechi za usiku ili hali wanajua fika yanga hawachezi mechi za kimataifa muda mrefu hivyo hawana uzoefu na mipira ya usiku......! Hata uwanja tu wa Ben Mkapa ni shida nadhani wangepanga mechi za yanga zichezwe uwanja wa mabatini kule kwa Masau Bwire.
Ila jamani, masaa matatu hata kwa mashabiki tu ni tafrani, sijui aliyefanywa haya maamzi Kama Yuko timamu au labda alikuwa gerezani ameachiwa Leo ndo anashituka kuona ratiba inasema 11.. !