Yanga yahamishia makazi katika Uwanja wa KMC Complex

My wetu atajinunisha ila kimoyomoyoo anafurahii,akiitaka Ipo kalibu yake sasaaa.
 
 
Yanga waongee na hao Crdb/Nbc wameonekana wapo karibu na mpira wakope mkopo wa muda mrefu wajenge Uwanja watoke kwenye hii aibu ya kuhama hama mara huku kesho kule...
Timu inatakiwa iwe na mipango ya muda mfupi na muda mrefu.
 
Hizo timu mbili hazioni aibu kabisa kukosa uwanja na kuanza kutanga Tanga,mauzo ya jezi tu watu hawajui ni ngapi ukiuliza wanasema wao wanataka furaha tu
 
Nyie mlihama viwanja vingapi? Mmeona maajabu kwa yanga kwenu aaah? Wameamua kuhama ayo ni maamuzi yao usiwapangie kama ambavyo awakuwapangia nyie kuhama!
Tumehama viwanja viwili

Uhuru

Hiki kiwanja kilikuwa kina pitch mbovu halafu pia kilikuwa ni kidogo.

Lakini changamoto nyingine ya hiki kiwanja ilikuwa ni match broadcasting.

Kutokana na kiwanja hiki kupakana na kambi ya jeshi kuliwekwa masharti ambayo yaliilazimu Azam ku set Camera kwenye angle ambayo haikuwa friendly kwa waangaliaji wa mpira kwenye TV hivyo kusababisha kutopata clear view kwa baadhi ya incidents.

Hiyo ni sababu ambayo Club iliona hakuna haja ya kuendelea kuutumia uwanja huo.

Chamazi Complex

Hiki ni kiwanja ambacho Simba ilihamia baada ya zile changamoto ambazo nimezibainisha hapo juu.

Ilikuwaje Simba wakauhama tena huu uwanja wa Azam Complex ambao waliuona ndio chaguo bora?

Ni kwasababu ya Azam kutoiheshimu Simba.

Kivipi?

Kuna siku kadhaa Simba amefanya booking ya kiwanja manake kashalipia kila kitu na kwa mantiki hiyo uwanja upo katika umiliki wake mpaka atapomaliza jambo lake.

Lakini Simba inafika uwanjani inakuta wakina Djuma Shaban na crew nzima ya Azam FC wakiwa wanafanya mazoezi.

Hiyo ndio sababu iliyopelekea Simba kuondoka Chamazi Complex na kwenda KMC.

Lakini nyie baada ya kufungwa mechi mbili mfululizo ndio tumewaona mkikimbia huu uwanja.

Mlifikia hatua ya kuuita uwanja wa Azam Complex ni Max watano kwasababu tu mlikuwa mnapata ushindi tena wa kishindo kuliko wenyeji.

Mlipofungwa tu, kila kitu kime change. Naskia saizi mnauita ni Bakhressa watano sio tena Max watano.
 
Reactions: Tui
Unaikumbuka hii mechi? Iliishaje?

Umesema mna ma spy ambao wanawapa info kuwa mlango rasmi kumewekwa dawa, sasa kwenye hii mechi mbona mlipita kwenye milango yenu ya kuruka ukuta na bado mkafungwa?

Spy aliwadanganya?

Lakini kingine sio kweli kuwa sababu ya nyie kuruka ukuta kumetokana na hofu ya kwamba Simba amemwaga dawa.

Napinga hii hoja yako kwasababu tumewaona mkiendelea na huo ushamba wenu hata pale ambapo nyinyi ndio wenyeji wa mchezo.

Maana yake uwanja upo kwenye miliki yenu mnaulinda na kuudhibiti lakini siku ya mechi ikiwadia mnafungua mageti mnaacha wazi lakini tunashangaa kuona Chama anapitia huku, Azizi Ki anahangaika kuruka ukuta.
 
Mbona ujasema sababu ya kuhamia Arusha pia sheikh amri abeid? Alafu umetaja sababu zilizopelekea muhame viwanja sasa na yanga WANAZO sababu zao zilizopelekea wahame huo uwanja na sio iyo unayoishupalia kwani ni timu Gani uwa aifungwi hapa duniani? Man city mwenyewe kafungwa mechi 4 mfululizo sembuse yanga,, zipo sababu muhimu sana zilizopelekea wahame wao sio wajinga kuwaelekeza cha kufanya
 
Kwanza sio kweli kuwa Simba alipigwa faini ya kiasi hicho ulichokiandika.

Na pia sababu iliyotajwa na CAF kwenye faini sio hiyo ambayo wewe umeandika.

Mpaka hapo hoja yako inakosa mashiko kwasababu inaonekana imeandikwa na mtu ambaye hafatilii mambo kiundani ni mtu ambaye analishwa habari na watu ambao wanachuki tu na Simba.

Mfano wa Manara ambaye aliwaaminisha kuwa Simba haijawahi kucheza fainali ya CAF lakini jana amekuja kurekebisha kauli yake hiyo ni baaada ya mahusiano yake na Hersi kutokuwa mazuri.
 
Swala la video za kuichafua Yanga lengo lao Azam ni kuchafua Taswira ya Yanga.
Kwanini kwa miaka yote uliyokuwa kwake waje wakuchafulie leo?
 
Acha kulia nimekufunga mara nne mfululizo
Siwezi kukaa mbali na my wetu
 
Tunasema Azam wamehusika kwakua zile picha na Video zimetoka katika majengo ya Taasisi Yao na hakuna mfanyakazi anaweza ku nyonya video au picha za taasisi na kutupia mitandaoni bila mwajiri wake kuhusuka/kufahamu.
Ni kweli nakubaliana na wewe kuwa zile footage zimetoka kwao, na sidhani kama kuna anayeamini otherwise.

Maana yake kwa kufanya hivyo kama ni shutuma za uongo wanajiweka kwenye risk ya kubanwa kuelezea kwanini wamethubutu kuchafua taasisi.

Unafikiri Azam kutoa hizo footage walikurupuka? hawakuweza kwenda mbele ya muda kunusa hatari ambayo ilikuwa inaenda kuwakabili kwa udhalilishaji wa taasisi kubwa kama Yanga?
 
Mahakama ni mahakama tu as long as itaenda kushughulikia tatizo na kutoa adhabu na nyie mkawa cleaned.

Kwani hakuna mahakama za michezo? why msiende huko ambapo mnaona ni sehemu sahihi kuliko mahakama za kiserikali?

Kama yalitengenezwa kuharibu image ya Yanga, ni upi wajibu wenu katika kuitetea nembo ya Yanga ambayo mnakili wazi kuwa mmechafuliwa?
 
Shutuma nzito kama hiyo unathubutuje kusema ni sababu isiyokuwa na msingi?

Mi nadhani hapo kuna ukweli ambao Yanga na Azam wanaujua na Azam katega bom anasubiria ujichanganye kwenda mahakamani ili akulipue mazima.

Hicho ndio kitu ambacho Yanga imefanya mahesabu yake vizuri na kuona kwamba njia pekee ni kufunika kombe kwa kuhama uwanja.

Hao wazee wa Simba tunaweza tusiwazingatie sana kwasababu hao ni mashabiki kama sisi na wanaweza kusema lolote kwasababu emotions ndio kitu kinachowaendesha.

Lakini ikumbukwe wazee hao waliwahi kugusia hili jambo la wachezaji wa Yanga kutumia enhancing drugs, lakini watu wengi nikiwemo mimi nilichukulia granted lakini kwa hizi footage za Azam unaweza ku link some dots.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…