Yanga yaiandkia CAF kupinga matokeo ya Nusu fainali ya CAFCL kutokana na kukataliwa kwa Goli lao kwa Administrative error & match fixing allegations

Sasa refa hakwenda kupata tafsiri ya incident iliyotokea..!!
 
Ushahidi wa Match fixing mbona haukutajwa?
Relief - mbona hawakusema wazi wanataka nini?
Yanga- wajipange upya… hata uandishi wa rufaa Kwa lugha ya kesheria nako ni mshike mshike…
 
Wala lile goli halihitaji kupata ushauri kutoka kwa wataalamu wa KICHINA ili kulikubali.
 
Nimeipenda hii!

Ijapokuwa mimi ni shabiki wa Simba ila ni shabiki wa mpira vilevile.

Maamuzi waliyoyachukua Yanga ni sahihi. Hata goli la Azizi Ki lipo wazi kabisa kabisa kwa namna yoyote. Ngoja tuone yatakuwaje.
Hapo hakuna kingine zaidi ya Muamzi kufungiwa.
 
Kagera nao waandike barua ila Uto kama yatima yani🤣🤣🤣🐸🐸🐸
 
Raha ya mpira ni dhuluma, na ubaya wa dhuluma isiwe upande wako.

Yanga watakachoambulia ni Kuombwa radhi na CAF lakini FACT kuwa wametoka haipotei kabisa.

Yanga na Simba wajipange na msimu ujao na CAF itafanyia kazi malalamiko yao msimu ujao
 
Unajua GSM Anawahadaa Yanga Bure Hapo Hakuna Jipya Zaidi Mengineyo
World Cup Iliyochezwa South Africa
Germany vs England
Kuna Goal Lilipwa Moja Likaingia Wazi Ila Refa Alikataa Na Hakuna Jipya
Sasa nawe bro mazingira ya 2010 unayaringanisha na sasa? Kipindi hiko hakuna VAR wala Goal line Technology mkuu sio sasa.
 
Kagera nao waandike barua ila Uto kama yatima yani🤣🤣🤣🐸🐸🐸
Naona unajitahidi leo kila uzi kujichekesha kama Malaya kaona pesa. Unanijiliwaza jana kubamizwa 2 kwa nunge. Una kazi ya kujichekesha tu toka jana kwenye kila uzi.
 
Ushindi pekee wa kutegemea hapa ni goal line tech, na effective use ya var,

Matarajio mengine yoyote ni kama ccm kuachia madaraka
 
2016
Matokeo ya mpira hayabatilishw

Ata kama mpira unge kuwa kona na refa ange nyoosha Kati

Kitakacho fuata ni6adhabu tuu kwa wa husika Lakin goli lipo pale pale
Kufuzu kombe la dunia Bafana Bafana vs Senegal mechi ilirudiwa baada ya Senegal kukata rufaa penalti ya mchongo waliyopewa Bafana Bafana wakapata goal la kwanza mechi ikaisha 2-1.
Marudio Senegal akashinda 2-0 na kufuzu kombe la dunia.
 
Ushahidi wa Match fixing mbona haukutajwa?
Relief - mbona hawakusema wazi wanataka nini?
Yanga- wajipange upya… hata uandishi wa rufaa Kwa lugha ya kesheria nako ni mshike mshike…
Aliyeandika barua ni Mwanasheria wa Yanga na Pia Ni advocate..Anaitwa Advocate Simon Patrick..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…