Yanga yaiandkia CAF kupinga matokeo ya Nusu fainali ya CAFCL kutokana na kukataliwa kwa Goli lao kwa Administrative error & match fixing allegations

Hivi lile goli la Yanga vs Ihefu, Ihefu wangeandika barua kama hii kwenda TFF hukumu ingekuwaje?
 
Hivi lile goli la Yanga vs Ihefu, Ihefu wangeandika barua kama hii kwenda TFF hukumu ingekuwaje?
Wewe akili huna, ushahidi wa video upo na goli la wazi lile la Yanga limekataliwa sbb ya match fixing, alafu mambo ya Ihefu ni issue tofauti, acha kuwa shoga wa mpira unachanganya mambo sana wewe nimalizie nyoko kabisa
 
Yaani hata kama haitabadilisha matokeo lakini ipaze sauti kwa menejimenti ya CAF kwa uhuni uliofanyika jana[emoji847]
 
Ndio maana nimesema hujielewi, hiyo goal line technology bado haijafika kwetu. Mkombozi ni VAR tu.
 
H
Hukumu ya tukio la aina hii itakuwa nini?
1. Refa kuhukumiwa.
2. Mechi kurudiwa
3.Uto kupewa ushindi?
4. Nk
Hebu wqjuzi mkuje pande hii Uto Leo moja haiendi ,mbili haisogei😀😀
Hapa namuona refa tu ndio kaingia 18 , swala la kurudiwa mechi au kubadilishwa matokeo hiyo tutaletewa maswala ya mechi ikishapita matokeo yamewekwa hairudiwi
 
''VAR kwenye hali kama ile haimsaidii sana mwamuzi"
kwahiyo kauli yko sitaki kupoteza mda kubishana na ww inaonekana hujui kazi ya VAR
 
Hukumu ya tukio la aina hii itakuwa nini?
1. Refa kuhukumiwa.
2. Mechi kurudiwa
3.Uto kupewa ushindi?
4. Nk
Hebu wqjuzi mkuje pande hii Uto Leo moja haiendi ,mbili haisogei[emoji3][emoji3]
Tatu haikaribii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni move nzuri.

Japo matokeo hayatobadilika, na hukumu haitakuwa wazi..... ila kuna watu watakula pesa nyingi za Motsepe ili watulie.
Pesa hampati na mamelodi wanacheza nusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…