Yanga yaiandkia CAF kupinga matokeo ya Nusu fainali ya CAFCL kutokana na kukataliwa kwa Goli lao kwa Administrative error & match fixing allegations

Endapo yanga itakuwa serious Kuna watu humo humo yanga watapewa vibunda kuzima kesi isifike FIFA. coz motsepe ni CAF president na ndiye Mamelod president. So hatakuwa tayar kuwekwa doa.
Acheni kudanganya watu, yaani kosa la refarii ndio kosa la timu? Inaa maana hao FIFA hawakuwa wanajua kuwa Motsepe ndio mmiriki wa mamelod?!! Kwani duniani hilo ndio goli la kwanza kukataliwa?!! CAF hawana goaline technology, ndio ingesaidia vizuri, VAR kwenye hali kama ile haimsaidii sana mwamuzi, mnaanza kuleta siasa zenu.
 
Hujui kitu
 
Una ushahidi kuwa masandawana wamehusika?

Matokeo ya magoli kukataliwa yapo toka miaka na miaka na hakuna mabadiliko pamoja ma sheria kuwepo

Ushindi wa mezani mara nyingi ni pale mmoja hakutokea uwanjani

Ila pale arabs
Timu ya kutoka iran na saudia moja ya saudia ili kataa kuingia uwanjani lakini hakuna matokeo ya mezani yalitolewa na ilikuwa kombe kama hili la CAF
UMesoma kanuni niliyoziweka????
Au umetoa Maelezo kutka kwenye Mawazo yako??
 
Hukumu ya tukio la aina hii itakuwa nini?
1. Refa kuhukumiwa.
2. Mechi kurudiwa
3.Uto kupewa ushindi?
4. Nk
Hebu wqjuzi mkuje pande hii Uto Leo moja haiendi ,mbili haisogei😀😀
Matokeo ya mpira hayabatilishw

Ata kama mpira unge kuwa kona na refa ange nyoosha Kati

Kitakacho fuata ni6adhabu tuu kwa wa husika Lakin goli lipo pale pale
 
Ile world cup naikumbuka. Lakini yatupasa tufahamu kwamba kila kitu kina taratibu na sheria zake na uzuri mleta uzi kaziweka kwenye baadhi ya post zake kwenye huu uzi ikowa kama sintofahamu unayooelezea ikitokea busara za sheria ni zipi ili haki ipatikane.

Hivyo, si vizuri kusema GSM anawahadaa Yanga bure. Licha ya kuwa mashabiki wa timu ila tuwe mashabiki wa mpira vilevile. Tukiwa mashabiki wa mpira huu usimba na uyanga tutauweka pembeni na kuutizama mpira kama mpira wenyewe upoje.

Mimi ni shabiki wa Simba ila niwe mkweli; shuti alilopiga Aziz Ki ni goli lile. Tena la wazi kabis. Uzuri kwenye kurasa tofauti tofauti za mpira Afrika limezungumziwa hilo! Kuwa lile ni goli la wazi.
Tena goal nzuri mno..lile jiwe hadi kipa alipoteana 😎🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Acheni kudanganya watu, yaani kosa la refarii ndio kosa la timu? Inaa maana hao FIFA hawakuwa wanajua kuwa Motsepe ndio mmiriki wa mamelod?!! Kwani duniani hilo ndio goli la kwanza kukataliwa?!! CAF hawana goaline technology, ndio ingesaidia vizuri, VAR kwenye hali kama ile haimsaidii sana mwamuzi, mnaanza kuleta siasa zenu.
Hatuongei kwa maneno matupu kanuni ndo zinasema Hivyo..
Wala sio Mtu anasema kwa matakwa yake
 
Hujui kitu
Mnatiana ujinga tu!! Hayo ni makosa ya kibinadamu tu, si juzi juzi tu hapa yanga alikuwa anacheza na Ihefu akapewa goli wakati mpira haukuvuka mstari kwa kiwango kinachotakiwa ili lihesabike ni goli? Sio kila kosa la mwamuzi ni upangaji matokeo.
 
Mkuu unajielewa kweli? Hizo zama hazikuwa na VAR, leo VAR ipo na hawakutaka kuiangalia.
Kitu ambacho uto kinawasumbua ni kutojua tofauti ya VAR na Goal line technology. VAR haiangalia kama mpira umevuka mstari au haujavuka mstari bali goal line technology ndio inafanya hiyo kazi.
VAR inamsaidia mwamuzi kupata marejeo ya incident yoyote inayotokea kwenye uwanja. Tafsi ya incident hiyo inabaki mikononi mwa refa.
Tuhuma za match fixing ni kubwa sana inabidi mwanasheria wa uto ajipange sana kutoa uthibitisho wa uwepo wa match fixing.
Kuna game ya NBC uto alipewa goli dhidi ya Ihefu wakati mpira ulidundia ndani lakini hakuna aliyeandika barua kwenda TFF.
Dhulma inaumuza sana.
 
Mnatiana ujinga tu!! Hayo ni makosa ya kibinadamu tu, si juzi juzi tu hapa yanga alikuwa anacheza na Ihefu akapewa goli wakati mpira haukuvuka mstari kwa kiwango kinachotakiwa ili lihesabike ni goli? Sio kila kosa la mwamuzi ni upangaji matokeo.
Kitendo cha kusema kuwa hayo ni makosa ya kibinadamu, maana yake umekubali kuwa amekosea..!! na hicho ndicho tunachomaanisha.

BTW, unajuwa sababu ya kuwa na VAR?
 
Kitu ambacho uto kinawasumbua ni kutojua tofauti ya VAR na Goal line technology. VAR haiangalia kama mpira umevuka mstari au haujavuka mstari bali goal line technology ndio inafanya hiyo kazi.
VAR inamsaidia mwamuzi kupata marejeo ya incident yoyote inayotokea kwenye uwanja. Tafsi ya incident hiyo inabaki mikononi mwa refa.
Tuhuma za match fixing ni kubwa sana inabidi mwanasheria wa uto ajipange sana kutoa uthibitisho wa uwepo wa match fixing.
Kuna game ya NBC uto alipewa goli dhidi ya Ihefu wakati mpira ulidundia ndani lakini hakuna aliyeandika barua kwenda TFF.
Dhulma inaumuza sana.
Elewa goal line technology haitumiki Africa hivyo VAR lazima itumike tu
 
Back
Top Bottom