Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Wala sikua serious Ndugu, siwezi kukomalia vitu nisivyo na ufahamu navyo. ShukraniUmeishiwa hoja..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala sikua serious Ndugu, siwezi kukomalia vitu nisivyo na ufahamu navyo. ShukraniUmeishiwa hoja..!!
Kwaiyo mbumbumbuu ndio mnajua😁Yanga hawajui hilo
Acheni kudanganya watu, yaani kosa la refarii ndio kosa la timu? Inaa maana hao FIFA hawakuwa wanajua kuwa Motsepe ndio mmiriki wa mamelod?!! Kwani duniani hilo ndio goli la kwanza kukataliwa?!! CAF hawana goaline technology, ndio ingesaidia vizuri, VAR kwenye hali kama ile haimsaidii sana mwamuzi, mnaanza kuleta siasa zenu.Endapo yanga itakuwa serious Kuna watu humo humo yanga watapewa vibunda kuzima kesi isifike FIFA. coz motsepe ni CAF president na ndiye Mamelod president. So hatakuwa tayar kuwekwa doa.
Hujui kituAcheni kudanganya watu, yaani kosa la refarii ndio kosa la timu? Inaa maana hao FIFA hawakuwa wanajua kuwa Motsepe ndio mmiriki wa mamelod?!! Kwani duniani hilo ndio goli la kwanza kukataliwa?!! CAF hawana goaline technology, ndio ingesaidia vizuri, VAR kwenye hali kama ile haimsaidii sana mwamuzi, mnaanza kuleta siasa zenu.
UMesoma kanuni niliyoziweka????Una ushahidi kuwa masandawana wamehusika?
Matokeo ya magoli kukataliwa yapo toka miaka na miaka na hakuna mabadiliko pamoja ma sheria kuwepo
Ushindi wa mezani mara nyingi ni pale mmoja hakutokea uwanjani
Ila pale arabs
Timu ya kutoka iran na saudia moja ya saudia ili kataa kuingia uwanjani lakini hakuna matokeo ya mezani yalitolewa na ilikuwa kombe kama hili la CAF
Matokeo ya mpira hayabatilishwHukumu ya tukio la aina hii itakuwa nini?
1. Refa kuhukumiwa.
2. Mechi kurudiwa
3.Uto kupewa ushindi?
4. Nk
Hebu wqjuzi mkuje pande hii Uto Leo moja haiendi ,mbili haisogei😀😀
Kumbe we Bado uko kwenye Kubishana kuwa hilo ni Goal au Sio Goli??Kwa hiyo hilo goli linaangukia wapi kwenye hiyo list ya administrative error?
Tena goal nzuri mno..lile jiwe hadi kipa alipoteana 😎🇹🇿🇹🇿🇹🇿Ile world cup naikumbuka. Lakini yatupasa tufahamu kwamba kila kitu kina taratibu na sheria zake na uzuri mleta uzi kaziweka kwenye baadhi ya post zake kwenye huu uzi ikowa kama sintofahamu unayooelezea ikitokea busara za sheria ni zipi ili haki ipatikane.
Hivyo, si vizuri kusema GSM anawahadaa Yanga bure. Licha ya kuwa mashabiki wa timu ila tuwe mashabiki wa mpira vilevile. Tukiwa mashabiki wa mpira huu usimba na uyanga tutauweka pembeni na kuutizama mpira kama mpira wenyewe upoje.
Mimi ni shabiki wa Simba ila niwe mkweli; shuti alilopiga Aziz Ki ni goli lile. Tena la wazi kabis. Uzuri kwenye kurasa tofauti tofauti za mpira Afrika limezungumziwa hilo! Kuwa lile ni goli la wazi.
Hatuongei kwa maneno matupu kanuni ndo zinasema Hivyo..Acheni kudanganya watu, yaani kosa la refarii ndio kosa la timu? Inaa maana hao FIFA hawakuwa wanajua kuwa Motsepe ndio mmiriki wa mamelod?!! Kwani duniani hilo ndio goli la kwanza kukataliwa?!! CAF hawana goaline technology, ndio ingesaidia vizuri, VAR kwenye hali kama ile haimsaidii sana mwamuzi, mnaanza kuleta siasa zenu.
Ni Lampard mkuuNadhani umeshapata tofauti ya sasa na kipindi hicho, VAR ililetwa sababu ya sintofahamu kama hizo za Rooney
Mnatiana ujinga tu!! Hayo ni makosa ya kibinadamu tu, si juzi juzi tu hapa yanga alikuwa anacheza na Ihefu akapewa goli wakati mpira haukuvuka mstari kwa kiwango kinachotakiwa ili lihesabike ni goli? Sio kila kosa la mwamuzi ni upangaji matokeo.Hujui kitu
Kitu ambacho uto kinawasumbua ni kutojua tofauti ya VAR na Goal line technology. VAR haiangalia kama mpira umevuka mstari au haujavuka mstari bali goal line technology ndio inafanya hiyo kazi.Mkuu unajielewa kweli? Hizo zama hazikuwa na VAR, leo VAR ipo na hawakutaka kuiangalia.
Shukrani kwa kunisahihisha mkuuNi Lampard mkuu
Hii barua ama bango la matangazo?View attachment 2955551
View attachment 2955552
View attachment 2955553
#Tuko Pamoja na Nyinyi Mpaka FIFA
Kitendo cha kusema kuwa hayo ni makosa ya kibinadamu, maana yake umekubali kuwa amekosea..!! na hicho ndicho tunachomaanisha.Mnatiana ujinga tu!! Hayo ni makosa ya kibinadamu tu, si juzi juzi tu hapa yanga alikuwa anacheza na Ihefu akapewa goli wakati mpira haukuvuka mstari kwa kiwango kinachotakiwa ili lihesabike ni goli? Sio kila kosa la mwamuzi ni upangaji matokeo.
Umekumbuka mabango ya 5-1 mliyowekewa..!!Hii barua ama bango la matangazo?
Sawa kila la heri, muende hadi FIFA kabisaKumbe we Bado uko kwenye Kubishana kuwa hilo ni Goal au Sio Goli??
Si huko Tumekwisha toka Tangu jana Usiku sasa Hivi tupo Kujadili Kanuni mkuu Karibu
Elewa goal line technology haitumiki Africa hivyo VAR lazima itumike tuKitu ambacho uto kinawasumbua ni kutojua tofauti ya VAR na Goal line technology. VAR haiangalia kama mpira umevuka mstari au haujavuka mstari bali goal line technology ndio inafanya hiyo kazi.
VAR inamsaidia mwamuzi kupata marejeo ya incident yoyote inayotokea kwenye uwanja. Tafsi ya incident hiyo inabaki mikononi mwa refa.
Tuhuma za match fixing ni kubwa sana inabidi mwanasheria wa uto ajipange sana kutoa uthibitisho wa uwepo wa match fixing.
Kuna game ya NBC uto alipewa goli dhidi ya Ihefu wakati mpira ulidundia ndani lakini hakuna aliyeandika barua kwenda TFF.
Dhulma inaumuza sana.