Yanga yaihitimisha mzunguko wa kwanza kwa kuisambaratisha Ruvu Shooting magoli 2 kwa 1

Yanga wamepooza sasa,Ruvu wanafanya mashambulizi mfululizo.
Mpira umegonga mwamba wa goli la Yanga....daaah mpira uishe tu.
 
Kadi ya njano kwa Ruvu Shooting-Said Madega.
 
Ruvu Shooting wamefanya shambulizi hatari sana...Ya Raby roho yangu mimi [emoji134]

Nifah kama nakumanya vile.
Anyway sio issue.
Twende pamoja: "🙂tupeni raha Yangaaa,🙂 tupeni rahaaa, ayeeeeeee" x 3🙂
 
Hakuna namna wapambane tu!Bingwa hakati tamaa
 
Nifah kama nakumanya vile.
Anyway sio issue.
Twende pamoja: "🙂tupeni raha Yangaaa,🙂 tupeni rahaaa, ayeeeeeee" x 3🙂
Mhhhhhh,huenda unayedhani ndiye au siye.
Nitakucheki baadae.

Ayeeeeeeeee [emoji23]
 
Dakika za lala salama...Offside kwa Yanga.
Bora sasa wanajitahidi kufanya mashambulizi.
Japo ukuta muhimu mida hii [emoji12]
 
Itabidi nifanye mpango aiseee,halafu sijawahi kwenda Taifa tukafungwa [emoji108].
Nikienda huwa navalia jezi yangu Original niliyoinunua 2012 Magomeni pale..Daaaah I miss those days [emoji17]
Ulinunua magomeni ipi, natafuta sana original
 
Dakika 4 za nyongeza
Yanga 2-1 Ruvu Shooting
 
Dakika za lala salama...Offside kwa Yanga.
Bora sasa wanajitahidi kufanya mashambulizi.
Japo ukuta muhimu mida hii [emoji12]
Unatupa taarifa, lakini pia unatupa na mshtuko
 
Yaani me na wewe bongo na ulaya tupo pamoja kwenye mpira.tatizo lako ni moja tu unamuonea huruma sana ali kiba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nafikiri hili tu la kuwa pamoja ndani na nje ya bongo kimpira linatosha,Kiba namkubali milele...
Utanichukia bure coz I'll never change [emoji5]
 
Bado sekunde chache mjini kuchangamke [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…