Yanga yaingia mkataba na kampuni ya vifaa vya umeme ya HAIER

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mkuu hapa tuko kwenye utani wa Simba na Yanga
 
Inakuwaje mashabiki wengi wa Yanga wamekimbilia jezi za blue na mmezigwaya jezi za njano na zile za kijani? Hizi rangi ndiyo utambulisho wenu toka enzi na enzi, mna maana gani kuzikacha jezi za rangi hiyo? Je kuna mashabiki wanaona aibu kutambulika kirahisi kama ni Uto maana jezi za blue na jina la mdhamini mpya itachukua muda kuzoeleka kama ni za Yanga.
 
Kwenye hizo jezi tatu je unajua jezi ipi n ya nyumbani? Jezi ya bue ndio jezi ya nyumbani na ya kijani ni ya ugenini na njano ni jezi ya ziada
 
Kwenye hizo jezi tatu je unajua jezi ipi n ya nyumbani? Jezi ya bue ndio jezi ya nyumbani na ya kijani ni ya ugenini na njano ni jezi ya ziada
Najua hilo ila jezi zilizouzika ni za blue na zingine zimebaki na ndiyo swali langu lilipo. Tena kuipa kipaumbele ya blue na kuiweka ya njano kama ya ziada inaonyesha zaidi kuwa swali langu lina mantiki.

Kubadili brand ya muda mrefu ikiwemo rangi zinazohusisha brand hiyo halitakiwi kuwa jambo rahisi ila kwa kuwa uzi ni mkali litapita tu. Niliwahi hata kupinga timu ya taifa kuvaa jezi nyeupe.
 
Mimi dini yangu inanikataza kumuita au kumfananisha na mnyama binadamu yoyote yule katika hali na mazingira yoyote aliyonayo.
 

Zingine zimebaki au haziuziki sana kulinganisha ya blue? Siku hizi unafanya kazi za kuhesabu jezi madukani? Swala la kubaki nakukatalia labda uniambie kuwa haziuziki sana kama ya rangi ya blue

Hilo la kubadili rangi inayotambulisha brand ya Yanga, nakubaliana na wewe hasa baada ya kuifanya iwe jezi ya nyumbani. Bora ingekuwa ni third kit sio mbaya.kwasababu mara nyingi third kit sio lazima iwe ndani ya misingi ya rangi ya timu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…