Yanga yaingia mkataba na kampuni ya vifaa vya umeme ya HAIER

Kwani hio ya blue ni ya TP Mazembe?
 
Kwenye uzi tu nawakubali sana YangaView attachment 2500738
Pengine unaongea kiutani wa jadi!
Lakin kama sio hvyo huo utakuwa

Ujinga mtupu na ushamba... Ukikosa exposure hata uwe vp Kuna sehemu utapata sonona....

Home kit jersey ya MAN U na ARSENAL zinafanana karibia kwa kila kitu ila sijasikia mashabiki wakibezana Habari za kuigana kwa jersey

Na pengine hata wewe ni shabiki mmoja wapo wa hzo team
 
Weka matokeo ya Al Hilal na yanga tuone nani aliibuka kidedea
 
Kwenye jukwaa hili hasa mambo ya simba na yanga usiwe sana siriaz
 
Mimi dini yangu inanikataza kumuita au kumfananisha na mnyama binadamu yoyote yule katika hali na mazingira yoyote aliyonayo.
Kwani yeye dini yake inaruhusu kudhalilisha watu vile anavyofanya yeye kwenye social network au huoni udhalilishaji anaofanya mitandaoni

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Nimeangalia video kadhaa mashabiki wa Yanga wenyewe wanakiri kuwa za blue ndiyo kali na pale klabuni zimeisha ila zingine bado zipo, wanazinunua zingine kwa shingo upande.

Swali langu liko palepale, Yanga na mashabiki wake wameanza kuzigwaya rangi za timu na hii ina maana gani?
 
Utopolo hapa wametumia akili nyingi. Sisi kujidai uzalendo wa kipuuzi? Uzalendo upo moyoni, si nguoni. Hatutaki tena VISIT TANZANIA, tunataka Mpunga.
Natamani urudi hapa baada ya tamko la SportPesa kutoka leo
 
Nipo. Nilidhani waliwasiliana na mdhamini Mkuu na kukubaliana mdhamini huyo akae kifuani.
Sasa unatakiwa ufute kauli yako ya kuwapongeza Yanga na kuwaponda Simba, maana ulichodhani wakati unaandika umekuja kujua kumbe sio ilivyo, na kwamba Simba si kwamba hawana akili, ila walikuwa wanaheshimu utaratibu
 
Bilioni 1 na milion 500 ndani ya mechi 6 za makundi.(akivuka hatua ya makundi mechi zinaongezeka). Ni Hela ndefu
 
Nipo. Nilidhani waliwasiliana na mdhamini Mkuu na kukubaliana mdhamini huyo akae kifuani.
Toka mwanzo Sportpesa alikuwa amepewa haki za kuweka nembo yake kwenye mashindano ya kimataifa?
 
Mbona logic ni simple tu, kwa mara ya kwanza Yanga wame introduce rangi ya dark blue kwenye jersey ni huruka ya binadamu kupenda kitu kipya mbona mambo madogo yanakupa shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…