ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Kwani hio ya blue ni ya TP Mazembe?Inakuwaje mashabiki wengi wa Yanga wamekimbilia jezi za blue na mmezigwaya jezi za njano na zile za kijani? Hizi rangi ndiyo utambulisho wenu toka enzi na enzi, mna maana gani kuzikacha jezi za rangi hiyo? Je kuna mashabiki wanaona aibu kutambulika kirahisi kama ni Uto maana jezi za blue na jina la mdhamini mpya itachukua muda kuzoeleka kama ni za Yanga.