Yanga yaingia mkataba wa Tsh Bilioni 34.8 na Azam Media

Nakubaliana na wewe.
Ila bado, sielewi the lampooning of the cliche.
Hii inafanya nisielewe concept ya mkataba?
Kwa sababu all you want ni mimi kwenda one notch down. Okay, Yanga ni klabu ya pili Tanzania kwa mashabiki wake kutumia traditional media.
Hiyo inaleta tofauti yeyote kwenye concept nzima?
 
Itachukua muda sana kuanza kueleweshana. Ni vizuri kama tuendelee tu na mambo mengine kwa sasa.
Nakushauri ujitahidi, upo nyuma kwa kiasi fulani and it shows.
Sorry, not to sound standoffish or nothin.
Umemjibu kisomi sana.🙌
 
Itachukua muda sana kuanza kueleweshana. Ni vizuri kama tuendelee tu na mambo mengine kwa sasa.
Nakushauri ujitahidi, upo nyuma kwa kiasi fulani and it shows.
Sorry, not to sound standoffish or nothin.
Umemjibu kisomi sana.🙌
 
Klabu ya mpira haina uwanja wa mpira hata wa kupigia danadana halafu inajivunia kuwa na Tv, kweli utopolo ni utopolo.
Kukosa uwanja hilo ni tatizo la Yanga wala halikuhusu,nyie si mlikuwa mnashangilia hapa kila kukicha kwa kuuza nusu nzima ya timu kwa bilioni 20 hewa[emoji23]...kwanza Simba nayo ina uwanja???
 
Unaposema kwamba Azam haja-base kwenye social media na anaiona kama ni mshindani wa TV una maana gani ?
Hebu tazama hizi picha za Instagram pekee za unayesema hayupo sana kwenye social media.

View attachment 1846118

View attachment 1846119
Azam Media kwa asilimia kubwa sana ni Azam TV.
Kama WASAFI MEDIA ilivyo kwenye Radio.
Milard Ayo (Ayo TV) kwenye Social media (Youtube).

Social media hiyo ni kama constant nowadays hata Kishki ana Kishki TV, ingawa hutoa "Da'awa" live pale vetenari.
 
Sasa unasimamia wapi mkuu ?

Social media (mfano page ya insta ya AzamTV) ni mshindani wa traditional media (Azam TV channels) ?

Kama hivyo ndivyo ilivyo, iweje watu wa Azam waendeshe page ya Instagram yenye followers MILIONI TATU wakati wanafahamu hii akaunti ni mshindani wa TV channel yao ?

Mimi nakwambia social media ni complementary (kiambatana, kichocheo, au mwenza) wa traditional media.

"Haulazimiki kutokua na access ya social media ili utazame TV"
 
Simbilisi mngeingia mkataba kabla ya kuuza 49% hapo labda.
Yanga wameingia mkataba huu kabla ya kuuza hisa. Meaning, asilimia 1oo ni mali ya Club hakuna MO.
Hivi abrahamovich ana hisa ngapi pale chelsea?
 
Mo kaleta mabadiliko makubwa sana kwenye soka la bongo
 
Mikia bwana kwa kukulupuka soma comment ya niliyoMQUOTE na nilicho COMMENT mimi
Kisha linganisha na ulichoandika km utaona vina uhusiano
Yule zeruzeru amewaharibu sana kwa kulopokalopoka usichokielewa
Haya endelea kulazimisha kalio lako litafune muwa, maana mzee Mpili kawaaminisha kila lisilowezekana litawezekana tu.
 
Kukosa uwanja hilo ni tatizo la Yanga wala halikuhusu,nyie si mlikuwa mnashangilia hapa kila kukicha kwa kuuza nusu nzima ya timu kwa bilioni 20 hewa[emoji23]...kwanza Simba nayo ina uwanja???
Sasa kama ya yanga hayanihusu wewe ya simba yanakuhusu vipi hadi unauliza simba ina uwanja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…