Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Hamna kitu kama iko,mkataba wa SportPesa na timu zetu hamna timu iliyoizidi mwenzie hata sumni,na ndivyo itakavyokua iwapo mikia wataridhia kuingia mkataba na azam media, hamna timu itakayoizidi nyingine.Ndo ilivyo lazima Simba wabebe pakubwa, ni kama kwenye deal la Sportpesa, Yanga walivuna kuliko Simba sababu Simba hakuwa kwenye fomu
Patachimbika aisee 😀Boss wetu Mo atakubali kweli kwa mshindani wake kwenye biashara?
Yanga mna matumaini sana, ndio matumaini ya mnaweza kuwa mabingwa wa vpl msimu huu haya.Yote yanawezekana. Kwani umeambiwa sifa za watakaotakiwa kuwemo kwenye CAF super League?
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Hakika Yanga mmewapiga Bao Simba kwa huo mkataba mnono wa zaidi ya Billioni 34...
Vunjabei hana hela kivile, yeye ana change za kuunga unga tu hapa na pale ili ahonge mademu wasiojitambua akili.Klabu kongwe ya Young Africans Sports Club leo inaingia mkataba na Azam Media utakaogharimu jumla ya shilingi Bilioni 34.8 (Bilioni 41 with VAT). Mkataba huu utadumu kwa miaka kumi(10) na utafanyiwa marudio/maboresho baada ya miaka mitano...
Nani kakwambia lazima wafanane? Mbona kwenye mafanikio uwanjani hawafanani? Au ndiyo kukariri kwenyewe huko? Vipi mkataba ukija hauko sawa na wa Yanga utakuja hapa kufuta comment yako?Hamna kitu kama iko,mkataba wa sportpesa na timu zetu hamna timu iliyoizidi mwenzie hata sumni,na ndivyo itakavyokua iwapo mikia wataridhia kuingia mkataba na azam media,hamna timu itakayoizidi nyingine
Haikupi unafuu wewe kwa kumkejeli Vunjabei, nina uhakika huna hata 1/8 ya pesa anayomiliki FredVunjabei hana hela kivile, yeye ana change za kuunga unga tu hapa na pale ili ahonge mademu wasiojitambua akili.
Siwezi kuzungumzia kitu ambacho hakijatokea. Kikitokea tutaongelea.Yawezekana uko sahihi ila kama ni hisia pia, kwa nini Simba na si yanga au gor mahia au the express?
Kwa hiyo klabu nyingine zitabaki kutoa macho zikiona yanga na simba wanavyopepea kwa nn azam media assiinue klabu yake ambayo kila mwaka ni wasindikizaji tu tutabaki kuwa na klabu 2 tu simba na yanga ndio maana soka la bongo haliendelei vipi kuhusu mtibwa mbeya city kagera sugar na klabu nyingine kwani wao hawapendi kuonekana.Klabu kongwe ya Young Africans Sports Club leo inaingia mkataba na Azam Media utakaogharimu jumla ya shilingi Bilioni 34.8 (Bilioni 41 with VAT). Mkataba huu utadumu kwa miaka kumi(10) na utafanyiwa marudio/maboresho baada ya miaka mitano...
Mashabiki wa Simba wa bwana. Kwa hiyo maneno haya yote ni kwa sababu ya huo mkataba wa Yanga TV na Azam Media?Yanga mna matumaini sana, ndio matumaini ya mnaweza kuwa mabingwa wa vpl msimu huu haya.
Sasa unafikiri sifa ni zipi? Sifa kuu uwe na ushiriki mzuri caf....yanga mtaweza ila kama mtafamya vizuri michuoano ya CAF. Kwa sasa simba ndio iko mbele kwenye firsa zote.
Klabu kongwe ya Young Africans Sports Club leo inaingia mkataba na Azam Media utakaogharimu jumla ya shilingi Bilioni 34.8 (Bilioni 41 with VAT). Mkataba huu utadumu kwa miaka kumi(10) na utafanyiwa marudio/maboresho baada ya miaka mitano...
Simkejeli, tambua kusema ukweli si kejeli, unaelewa hili?Haikupi unafuu wewe kwa kumkejeli Vunjabei,nina uhakika huna hata 1/8 ya pesa anayomiliki Fred
Hamna kitu kama iko,halafu mikia wa ajabu sana,inaonesha ni jinsi gani hamjui thamani ya klabu yenu, mo mpaka leo anagoma kutoa b 20 za 49%,then huku kwenye azam media mnajipa moyo eti mkataba wenu utakua zaidi walioingia Yanga wa b 34 kwa miaka,vuteni subra uwekezaji ndio mtazidi kuumia.Nani kakwambia lazima wafanane? Mbona kwenye mafanikio uwanjani hawafanani? Au ndiyo kukariri kwenyewe huko? Vipi mkataba ukija hauko sawa na wa Yanga utakuja hapa kufuta comment yako?
Mkataba ni bln 41 baada ya vat ndio imebaki 34Yanga watueleze ukishaondoa VAT wao watabaki na shilingi ngapi
Swali gani?Jibu swali mkuu, acha kunituma nikafuatilie migogoro.
Kampuni Moja.Hujajibu swali la Mwanamaji naomba nikukumbushe swali alilokuuliza,Azam Tv ana Account Instagram yenye 3.5M followers,je hiyo Account ni Competitor wa Azam Tv Channel? Hayo ya yeye kwenda kufuatilia mgogoro wa Simba Day youtube yaache kwanza.
Unabisha ili ubishe tuHamna kitu kama iko,mkataba wa sportpesa na timu zetu hamna timu iliyoizidi mwenzie hata sumni,na ndivyo itakavyokua iwapo mikia wataridhia kuingia mkataba na azam media,hamna timu itakayoizidi nyingine
Kwani MO ana TV?Boss wetu Mo atakubali kweli kwa mshindani wake kwenye biashara?