Yanga yaingia mkataba wa Tsh Bilioni 34.8 na Azam Media

Hujui babra na moo tayar ni sehem za clab hujui kua simba ndio source?
 
Mimi napenda kuchukua nafasi hii kuupongeza uongozi wa Yanga kwa kufikia makubaliano na hatimae kutialiana saini mkataba mnono wa miaka 10 na Azam Media.

Ni historia kubwa kwa maendeleo ya Club yetu ya Yanga, huu ni mwanzo makubwa mengi sisi wapenzi, mashabiki na wanachama tunatarajia kuyaona na tuna imani kubwa na Uongozi huu kwa matarajio ya wengi wetu kuiona Yanga inakua Club ya mfano si tu Tanzania, bali Afrika na ulimwenguni kwa ujumla.

Kila la heri timu yetu.
Daima mbele, nyuma mwiko
 

Hizo contents nyingi ni za kibiashara na zinaweza kulipiwa kama contents za SSC na zikaingizia Club hela.
Kama upo kuitetea Simba, hizo contents ni counterproductive. Zinaathiri nguvu ya Club kunegotiate deals.
Ila wewe upo kiubishi zaidi.
 
Najua umeumbuka, na wewe unajua hilo hamna habari hapo, ni jumbe za kawaida kabisa....
"Ahsante mungu tumeshinda, ina athiri vipi TV rights?
 
Najua umeumbuka, na wewe unajua hilo hamna habari hapo, ni jumbe za kawaida kabisa....
"Ahsante mungu tumeshinda, ina athiri vipi TV rights?
Kama wewe unaona ni number za kawaida, basi ndiyo maana timu zetu zipo hivi zilivyo
Hawa siyo miungu na si kwamba wanajua Kila kitu
Kurekebishana ni muhimu ili tuendelee. Sasa mwambie Hani asipost Mambo ya Simbilisi. Atawatuma a, na hapo ndiyo tunapokwama.
 
Kwani Simba wanashindana na Yanga kwenye huo mkataba ?
 
Simba wataingia kama huo huo. Wamesema Azam wenyewe!
 
Hiyo ndio faida ya kufanya kazi na wasomi ,kina tido muhando , muliwata TBC pale kisha kwa akili zenu chafu ,mkaanza waundia zengwe baada yakuanza kuirudisha TBC kwenye ramani ,
Siasa za maji taka ,sasa subir bakhressa anufaike

Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
 
Unachotaka kusema ni kwamba Bumbuli, Nugaz, Mwakalebela, Haji Mfikirwa, Senzo n.k hawaposti chochote kinachohusu Yanga SC kwenye social media accounts zao ?

Kama hivyo ndivyo ilivyo, kwanini Simba (ambayo inadhoofishwa na akina Haji, Mo, Barbara, n.k) ina fan base kubwa zaidi ya Yanga huko huko kwenye social media ?
 
Hata kama simba watafatwa na Azam deal halita kamilika sababu yule mudi anataka mpaka akiwa na hisa zake 49 deal izo zikiingia ndani pindi na yeye tayar ni mwenyekit ngoma igawike
Ni wachache sana watakuelewa Mkuu,na kama kweli Simba walifuatwa wakagoma basi Mudi ndo alikataa,,na hapa ndo utagundua jamaa alivyo janja janja!
 
Kwamba hilo deal limekuwa facilitated by Senzo au? [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa taarifa yako, baada ya Yanga ni Simba, tutakaa mmsifie pia Babra.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mikia bwana kwa kukulupuka soma comment ya niliyoMQUOTE na nilicho COMMENT mimi
Kisha linganisha na ulichoandika km utaona vina uhusiano
Yule zeruzeru amewaharibu sana kwa kulopokalopoka usichokielewa
 
Hizo fedha zinaenda wapi?..mbona wachezaji wanadai mishahara
Daah! Kwa hiyo mkataba ulivyosainiwa leo inaonyesha hizo pesa walikuwa wanapata siku zote kiasi kwamba huelewi kwa nini wanadaiwa mishahara ya wachezaji?


Yaani mtu akiniuliza mbona ulikuwa unapata tabu na njaa siku zote nyuma wakati hela leo umelipwa? Namtupia baharini aliwe na samaki



Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…