Yanga yakataa kuvaa nembo nyekundu, ni kinyume na Katiba yao

Kweli ujinga ni mzigo, just nembo, basi waseme size iwe ndogo kama wanaona ina compromise njano na kijani. Dawa yao ni kuwaacha nyuma tu!
 
Hawa wapumbavu muda si mrefu watataka wawe na damu ya kijani au njano, watagoma kucheza uwanja wowote wenye rangi red, hawatakalia mabenchi red...
 
Hebu acha kuandika upumbavu! Tamaduni zimeandikwa wapi wewe!? Acheni kuwa na mawazo ya ujima!!!! Kwani wakivaa hiyo nembo watakuwa si yanga tena bali ni Simba?

Mnalalamika nini sasa? Si mkatafute mdhamini wenu mwenye rangi za jangwani badala ya kulia lia!?😳😳😳

Kwanin unaamin kitu unachoamini ndo sahihi, wenzako wanasema ni kinyume na katiba na tamaduni zao we unabisha nin mke,
 
Kwani hakuna wakubwa wajinga?..
 
Kutovaa njano IPO kwenye katiba ya Simba? Kama siyo basis walikuwa huru kuvaa hiyo nembo ya Caf. Ila kwa Yanga ili ni suala LA kikatiba, ambalo linahitaji idhini ya mkutano mkuu.
Aliyewazuia kuitisha mkutano mkuu ni nani..?
Mtanyooka tu
 
Mimi ni Yanga lkn siwezi kuunga mkono upuzi,ujinga,ushamba na umbumbu kama huo
Watu wenye akili timamu hawawezi kuikata logo ya mdhamini wa ligi kisa eti ina rangi nyekundu
Kama Yanga wataikataa logo ya mdhamini hawastaili kupata hata shilingi moja kutoka kwa mdhamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…