Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Pelekeni CAF wapigwe faini na kufungiwa mechi zao wasiingize watazamajiUongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Kupitia taarifa hiyo, klabu hiyo imeomba mamlaka husika kuchukua hatua kali dhidi ya waliohusika na imetoa pole kwa mashabiki walioathirika.
Vilevile, Yanga imewasihi mashabiki wake kuendelea kudumisha ustaarabu, kutolipiza kisasi, na kuendeleza mazingira ya amani na mshikamano katika viwanja vya soka.
Timu yao iliishia makundi ya Champion League kibaya zaidi ile sheria isingefutwa wangekuwa wametolewa mapema shirikisho.Pelekeni CAF wapigwe faini na kufungiwa mechi zao wasiingize watazamaji
Pakia video,wengine hawakuona.Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu...wao walimpiga yule shabiki wa Simba siku ile tena makofi ya hadharani ila hatukusikia Simba ikisema lolote...walianzisha wao chuki hao nyuma mwiko...na ni ushamba wa hali juu...Tena wapo wanaojiita mabaunsa wa Yanga wakikuta mtu anahojiwa anaipinga timu yao au kuisema wasiyotaka kuyasikia walikua wanawapiga sio mmoja video zipo...kuna mmoja walimkimbiza na kumpiga mpk huruma....
Hili walilianzisha wao walinywe....
Japo sio vzr kama watanzania...
Yanga wa zanzibar wamelegea mbele na nyumaUongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Kupitia taarifa hiyo, klabu hiyo imeomba mamlaka husika kuchukua hatua kali dhidi ya waliohusika na imetoa pole kwa mashabiki walioathirika.
Vilevile, Yanga imewasihi mashabiki wake kuendelea kudumisha ustaarabu, kutolipiza kisasi, na kuendeleza mazingira ya amani na mshikamano katika viwanja vya soka.
Uto wakikaidi watapigwa tu. Na mimi nasema wapigwe tu.Uongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Kupitia taarifa hiyo, klabu hiyo imeomba mamlaka husika kuchukua hatua kali dhidi ya waliohusika na imetoa pole kwa mashabiki walioathirika.
Vilevile, Yanga imewasihi mashabiki wake kuendelea kudumisha ustaarabu, kutolipiza kisasi, na kuendeleza mazingira ya amani na mshikamano katika viwanja vya soka.
TFF & TPLB wote wanaongozwa na Viongozi wa Simba unategemea nini? Bora unyuti tu, Simba ni Mtoto pendwa wa TFF & TPLBKupitia taarifa hiyo, klabu hiyo imeomba mamlaka husika kuchukua hatua kali dhidi ya waliohusika na imetoa pole kwa mashabiki walioathirika.
Simba sisi hatutumiagi nguvu hao Yanga wenu wa Znz wamelegea yaan wameguswa kidogo wanajichekeshaa, sijui urojo unakuwaga na nini jamanInasikitisha sana uadui wanaotaka kuuanzisha simba siku yakiwakuta tusisikie kelele humu.
Watu wanajitoa akili kutetea ule udhalilishaji tena mtu yupo na watoto wake na mke hapo hapo wanapiga kama kawaibia.
Ipo siku kitawaramba. Karma huwa haikosei address
Simba sisi hatutumiagi nguvu hao Yanga wenu wa Znz wamelegea yaan wameguswa kidogo wanajichekeshaa, sijui urojo unakuwaga na nini jaman
Ngoja nitafutePakia video,wengine hawakuona.
Washabiki wa yanga hamnazo juzi bi mkubwa wangu anapigia simu sanane za usiku tena video call eti anazomea atujabeba , nimekata kwa hasira na huduma ya bia mbili kila siku zilizokuwa nimemwekea oda pale kwa mangi nimezikata ,ubwaya ubwela.Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu...wao walimpiga yule shabiki wa Simba siku ile tena makofi ya hadharani ila hatukusikia Simba ikisema lolote...walianzisha wao chuki hao nyuma mwiko...na ni ushamba wa hali juu...Tena wapo wanaojiita mabaunsa wa Yanga wakikuta mtu anahojiwa anaipinga timu yao au kuisema wasiyotaka kuyasikia walikua wanawapiga sio mmoja video zipo...kuna mmoja walimkimbiza na kumpiga mpk huruma....
Hili walilianzisha wao walinywe....
Japo sio vzr kama watanzania...
zimeshafikaaa mkuuuPelekeni CAF wapigwe faini na kufungiwa mechi zao wasiingize watazamaji
Jamaniii mpk bi mkubwa tena ahahahaaWashabiki wa yanga hamnazo juzi bi mkubwa wangu anapigia simu sanane za usiku tena video call eti anazomea atujabeba , nimekata kwa hasira na huduma ya bia mbili kila siku zilizokuwa nimemwekea oda pale kwa mangi nimezikata ,ubwaya ubwela.