Yanga yalaani vikali vitendo dhidi ya Mashabiki wake kupigwa na mashabiki wa Simba kwenye Fainali ya CAF Zanzibar

Wazee wa matamko....kila siku tamko....hawana kazi za kufanya
 
Hayo mambo walianzisha mashabiki wa yanga wenyewe Simba walipotoka kukemea ni yanga hao hao walio wadhihaki na kuwakejeli leo kimetokea kwao ndio wanaona limekua kosa 😳 waendelee kufurahia na kukejeli kama mwanzoni tuh
 
Reactions: Tui
Lini wataenda 'CAS'???
 
Ni mchaga huyu sema anachati huku akiwa kwenye vitu virefu wa kwetu😁
Ahahha na mm najua ni mchaga sema tuu nimetaka nimrushe huko Kigoma akapumzike kwanza...na ninamfahamu kabisa yy hawezi nifahamu... πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 
Basi mbumbumbu mnafurahi
 
Karia na bodi ya ligi hawawez kuangaika na Hilo tukio ,,Niamn mm hata kukemea tuu hataweza
 
Ni mchaga huyu sema anachati huku akiwa kwenye vitu virefu wa kwetu😁
mpwaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimekujaaa bunju nyumba ndogoo naona kanitayarishiaaaa mbegee na konyagi sijui anachikitaka kwangu hapaa nimemaliza nusu bapaa nasikiakuharishauchaguzi
 
kwa maisha ya sasa jamiiforums naingia nikiwa bar tu mtakachopatapokeenikamahamjalipiademaammeensijaleeewaaasijalewaaadj nipeee natakakusahaushidaaaleteepombeesijalewaa turmekouja nabikombeeepombegee
Msyuuuu πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…